Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Naona ushahidi umeuleta mwingi hapa
Sinimekuambia kasome upya kwa kutumia fafanuzi zangu kwanza kisha ndiyo njoo kuuliza zaidi au ujui ku download app ya biblia kwenye simu yako .?
 
Sinimekuambia kasome upya kwa kutumia fafanuzi zangu kwanza kisha ndiyo njoo kuuliza zaidi au ujui ku download app ya biblia kwenye simu yako .?
Biblia ziko kwa maelfu hiyo uliyoisoma wewe Lete ushahidi kutoka biblia Bwana Yesu anasema mimi ni Mungu niliyevaa mwili wa binadamu
 
Unajua maana ya I AND THE FATHER ARE ONE?

Unataka ushahidi upi?

Na ikiwa unakataa kuhusu kufufuka wa Yesu, kwanini utimie vifungu vya BIBLIA kupinga uungu wa Yesu ikiwa unapingana na ushahidi wa maandiko juu ya kufufuka Kwa Yesu?

Hiyo one Kama unatafsiri ni kitu kimoja , Yohana huyo huyo anatuambia Yesu aliwaambia wawe wamoja na wanafunzi wake kwa hivyo wote pamoja na Yuda aliyemsaliti watakuwa waungu?
 
Unajua maana ya I AND THE FATHER ARE ONE?

Unataka ushahidi upi?

Na ikiwa unakataa kuhusu kufufuka wa Yesu, kwanini utimie vifungu vya BIBLIA kupinga uungu wa Yesu ikiwa unapingana na ushahidi wa maandiko juu ya kufufuka Kwa Yesu?

Wakristo mnadai kwamba Yesu alikiri kwamba yeye na Mungu
walikuwa ni kitu kimoja kwa maana ya Kimaumbile pale anaposema
katika Yohana 10:30; “Mimi na Baba tu umoja.”,

Baadae katika Yohana 17:21-23, Yesu alinena kwamba wafuasi wake, yeye
mwenyewe na Mungu ni kitu kimoja katika sehemu tano. Sasa kwa
nini walipe neno “Kitu kimoja” la kwanza maana nyingine tofauti na
yale maneno “kitu kimoja” katika sehemu tano nyinginezo?
 
Ahsante sana Kwa somo
 
Umesema I AND THE FATHER haieleweki kwako,

Sasa kwanini usitulie ueleweshwe?

Wawezaje kupinga BIBLIA Kwa kutumia BIBLIA usoiamini?
 
Biblia ziko kwa maelfu hiyo uliyoisoma wewe Lete ushahidi kutoka biblia Bwana Yesu anasema mimi ni Mungu niliyevaa mwili wa binadamu
Umeelewa kasome biblia injili au rudi nyuma kwenye comment zangu utakuta
 
Nenda kasome tena jilo fungu maana inaonekana hukuwahi kuelewa:

Hapo mwanzo kulikuwako na Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, Naye Neno alikuwa ni Mungu. Hakuna chochote kilichofanyika kilichoweza kufanyika kilichofanyika pasipo yeye.

NB: suala la utatu mtakatifu ni fumbo ambalo hakuna mwanadamu aliyeweza kulifumbua. Tunajua kuna nafsi 3 za Mungu, lakini ni nini maana ya nafsi 3: Je, ni yule yule mmoja bali anaweza kujitokeza katika nafsi 3? Je, ni entities 3 zenye ushirikiano, na kwa ujumla wake ndiyo huitwa Mungu? Yesu anasema yuko ndani ya Baba, na Baba yupo ndani yake. Ukimwona yeye umemwona Baba.

Mimi kwa fikra zangu, siyo za kufundishwa, naamini Mungu ni mmoja, bali ana uwezo wa kutokea na kujigawanya katika hizo nafsi, na akitaka anaweza kujitokeza katika countless nafsi. Fikiria ukubwa wa Ulimwengu, lakini tunaambiwa kuwa siku ya Yesu kurudi Duniani, kila mtu atamwona. Kwa uwezo wa mwanadamu unaweza kusema hili litatokeaje!!!
 
Umesema I AND THE FATHER haieleweki kwako,

Sasa kwanini usitulie ueleweshwe?

Wawezaje kupinga BIBLIA Kwa kutumia BIBLIA usoiamini?

Soma context kwanza utaelewa maana yake
 
Safi sana
 
Sasa Unadhani huyo sheh mwenye majini kichwani anawezaje kukiri kuwa Yesu ndiye Mungu Mmoja,

Unataka anyongwe na mapepo?
Hizo story Za mapepo kawaulize Hao wachungaji wako wanaokudanganya .
 
Hizo story Za mapepo kawaulize Hao wachungaji wako wanaokudanganya .
Baba Yako shetani anajua Yesu ni nani na alimwabia Yesu, ikiwa u mwana wa Mungu...

Na kamwe hawezi kukuruhusu umkiri au ujue Yesu ni Mwana wa Mungu aje

Mapepo yaliyompagaa mtu yule Kwa Wagerasi, yalimkiri Yesu kuwa " Tunakujua u Mwana wa Mungu aliye juu, tunaomba usitupeleke shimoni!

Mapepo yamjua Yesu ni Mungu, lakini kamwe hayatokuruhusu umkiri.

Mungu ni MMOJA tu, na Jina lake ni YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH
 
Yesu katumwa kwa wana wa Israeli , hakujituma , Wacha kutuletea stori Za wachungaji wako wanaokudanganya kutafuta ugali
 
Yesu katumwa kwa wana wa Israeli , hakujituma , Wacha kutuletea stori Za wachungaji wako wanaokudanganya kutafuta ugali
Kuna watu mia na arobaini na nne elfu wataingia Mbinguni Kwa kumwamnii Yesu,

Mia arobaini na nne elfu ni coded,

Ni wengi sana idadi Yao ni maelfu elfu wataingia Mbinguni Kwa kumwamnii Yesu.

Believe in Jesus, be saved!

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…