Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Kuna watu mia na arobaini na nne elfu wataingia Mbinguni Kwa kumwamnii Yesu,

Mia arobaini na nne elfu ni coded,

Ni wengi sana idadi Yao ni maelfu elfu wataingia Mbinguni Kwa kumwamnii Yesu.

Believe in Jesus, be saved!

Amen

Hizo ni story , Yesu hajakuambia umwamini yeye kuwa ni Mungu , Hakuna mahali Yesu alisema mniamini Mimi Yesu kuwa ni Mungu
 
Kuna watu mia na arobaini na nne elfu wataingia Mbinguni Kwa kumwamnii Yesu,

Mia arobaini na nne elfu ni coded,

Ni wengi sana idadi Yao ni maelfu elfu wataingia Mbinguni Kwa kumwamnii Yesu.

Believe in Jesus, be saved!

Amen


Yesu ametumwa na Mwenyezi Mungu.
Ametumwa awendee nani?

Hebu tuiache Biblia itueleze:


Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina. Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu: Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."
 
Hakuna Mungu mwenye nafsi tatu ...huo upumbavu wa nafsi tatu ni wa madhehebu....siyo injili ya kweli .
 
Thibitisha uwepo wa Mungu acha kuzungumzia habari za sayaansi na energy
 
Umeelewa kasome biblia injili au rudi nyuma kwenye comment zangu utakuta
Huwezi kujibu hoja kwa hasira mkuu,watu wanakuuliza wewe unaasema warudi nyuma kwenye comment au wakasome injili Nini dhamira ya kuleta topic hapa?
 
Mtu ambae alizaliwa, akawa anakula, akafa is simply can not be A God.
 
Huwezi kujibu hoja kwa hasira mkuu,watu wanakuuliza wewe unaasema warudi nyuma kwenye comment au wakasome injili Nini dhamira ya kuleta topic hapa?
Tatizo hapa jf mimi ni mchangiaji sikuanzisha uzi hivyo wakati mwingine majibu nimesha yatoa kwa kumjibu mtu mmoja ila comment niliyo jibu ujaiona wewe hivyo kuleta usumbufu wa kujibu swali moja zaidi ya mara 10 ndiyo maana nakuambia kasome mlolongo wa maswali ninayo ulizwa na majibu huko nyuma hili upate mtililiko kamili wa majibu na maswali .
 
Mtu ambae alizaliwa, akawa anakula, akafa is simply can not be A God.
 
Thibitisha uwepo wa Mungu acha kuzungumzia habari za sayaansi na energy
Waulize wanasayansi ulimwengu umeumbwa na nini ? Watakupa jibu kuwa umeumbwa na NGUVU ZA ENERGY hizo nguvu zilizo umba ulimwengu ndiyo mungu
 
Yesu ni mtume na amesema hayo mwenywe na pia hakusema aabudiwe ila dunia ilifosi ili Muumba asiabudiwe rejea mistari hii baadhi

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma(mtume).

1Korintho 15:24-28
24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.

25 Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.

26 Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.

27 Kwa kuwa, Alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema, Vyote vimetiishwa, ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia vitu vyote hayumo.

28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe(Yesu) naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Muumba awe yote katika wote.
 
Kwa jina la Baba,mwana na roho mtakatifu. Kwa Nini isianze kwa jina la roho mtakatifu, mwana na baba?? Na yesu alikuwa Mungu katika mwana mwenye umbo no la mwanadamu. Kiukweli yesu alikuja duniani kusimama kama kielelezo yaani Kama taswira kuwa ili mwanadamu aufikie uzima wa milele basi afuate matendo aliyokuwa anayafanya yesu Mungu katika Hali ya uanadamu..

mkuu, yesu ni Mungu ila alikuja duniani kutupa njia na mwanga kuwa uzima wa milele unafikiwaje. Maybe Mungu Angekuja na nguvu zake,ukuu wake na utakatifu wake hakuna hata binadam mmoja angemsogelea hivyo ingeshindikana kufikisha ujumbe kwa wanadamu. Yesu alifanya maombi,aliishiwa nguvu,aliogopa kifo alilia ila aliomba Sana kwa Mungu mkuu kweli akamletea malaika wake wakamtia nguvu vivo hivyo nasi tunatakiwa kufanya wanadamu aliye juu tayari alishatupaa njia

Sorry, nimejibu kiuelewa
 
Waulize wanasayansi ulimwengu umeumbwa na nini ? Watakupa jibu kuwa umeumbwa na NGUVU ZA ENERGY hizo nguvu zilizo umba ulimwengu ndiyo mungu
Nataka uniambie wewe
 
Kwa nn Yesu Hakuoa, na Je kwa Nini Shetani alingea na mwanamke ktk Bustani ya Edeni
Umeambiwa toa sababu kama Yesu sio Mungu alafu unauliza sijui nini
Nyie ndo mlikiwa mnafeli kwa kutokusoma instructions kwenye mtihani
 
Ukitumia akili na maarifa, utagundua kuwa Yesu hajawahi kujiita kuwa ni Mungu, ila walio muita Mungu ni wengine na unachokisoma kwenye Biblia kama ushahidi; kilindikwa miaka mingi baada ya Yesu kutwaliwa.
Uamuzi ni wako;
1. uamini walio amua kumuita Yesu kuwa ni Mungu miaka mingi baada ya yeye kutwaliwa na siku za mwisho utakapo kutana na Mungu mwenyewe mwenye kiti cha enzi, utajua mwenyewe mtakavyo malizana!

2. Uamini kwamba yupo Mungu mwenye mamlaka yote na Yesu ni mjumbe wa Mungu aliyetumwa Duniani kwa kazi maalum. Ushahidi upo wazi wazi kwani muda mwingi Yesu aliutumia kumuomba Mungu amsaidie kutimiza majukumu aliyopewa
 
Wewe akili zako zinafuta maelezo ya muhammad...injili yote toka mwanzo inathibitisha kuwa Yesu ni mungu ...hata namna ya alivyokuwa anafundisha ilikuwa ni tofauti na mitume wote na manabii imeandikwa alikuwa na fundisha kama mtu mwenye MAMLAKA ....SIKU NITAKUJA KUWAAMBIA WAISLAMU KWANINI MUHAMMAD ANAPINGA SANA KUHUSU YESU KUWA NI MUNGU PIA ANAPINGA SAMA KUHUSU KUSULUBIWA KWA YESU ....KUNA SABABU KUBWA SANA ZA KISHETANI NDANI YAKE.
 
Wanaomuita yesu ni Mungu hao wote ni katika watu waliokufuru, na ibada za watu hao waliokufuru huomba kwa jina la mwanadamu huyo anaeitwa yesu badala ya kuomba kwa jina la Mungu mmoja aliemuumba huyo yesu.
Wewe ni mkristo? Kama sio mkristo kina chokuuma nini?pumbafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…