Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa


Yaani hata kwa akili ya kawaida
Mungu analala usingizi, sasa si anapitwa na mambo mengi,
Mungu anazaliwa na Binadamu kweli?
Mungu anasikia njaa, kula nk
ACHENI KUDHALILISHA UKUU WA MUNGU!
 
Wewe yaonyesha ni msomi sana.Kutafsiri kitabu kutoka lugha moja kwenda nyingine ni tatizo kubwa,ndio maana Qur'an inabaki kwenye lugha moja tu,nyingine zinahesabika ni tafsiri ya Qur'an.Kila lugha ina utamaduni wake,kwa mfano kwa waingereza,mwanamme anaolewa na mwanamke anaolewa,mwanamme anasema,Will you merry me?anamwambia mwanake, utanioa?Kwenye kiswahili,ukitafsiri kama ilivyo,haikubaliki.Hata kwenye kiarabu,hakuna,baba mkubwa,akiwa sio baba aliyekuzaa au mama aliyekuzaa,wote ni baba na mama mdogo tu.
 
Kwahiyo kuna Mungu wangapi ?

Binadamu yeyote Ana uungu ndani yake Ila Binadamu hawezi kuwa Mungu.

Jesus Christ ni God's messenger ambaye Alikuja duniani kutimiza mission yake na kuondoka.

At his age 33 alikuwa amefanya mambo mamkubwa katika kuijenga Imani sehemu aliyotumwa.

Bible is fiction book na watu wachache ndo wamefanikiwa kukielewa hiki kitabu in deep.✊🏿
 
Wewe,msomi,umetuelewesha vizuri.
 
Wanaomuita yesu ni Mungu hao wote ni katika watu waliokufuru, na ibada za watu hao waliokufuru huomba kwa jina la mwanadamu huyo anaeitwa yesu badala ya kuomba kwa jina la Mungu mmoja aliemuumba huyo yesu.
Jina la Huyo Mungu mmoja ni lipi?
 
Yaani hata kwa akili ya kawaida
Mungu analala usingizi, sasa si anapitwa na mambo mengi,
Mungu anazaliwa na Binadamu kweli?
Mungu anasikia njaa, kula nk
ACHENI KUDHALILISHA UKUU WA MUNGU!
Yesu aliye weza kuyaona mambo ya nyoyoni mwa watu ndiyo analala usingizi je usingizi na kifo kipi chenye nguvu basi jua tu yesu alishinda mauti kwa kuwa awezi kufa japo.mwili umekufa ...mungu akifumba macho siyo kwamba haoni au kalala ...mwili ni mwili na nafsi ni nafsi nafsi ya yesu ni mungu nafsi yake aijawai kufa hata sekunde moja wala aiwezi kulala ...si kulala usingizi wala kulala mautini
 
Yaani hata kwa akili ya kawaida
Mungu analala usingizi, sasa si anapitwa na mambo mengi,
Mungu anazaliwa na Binadamu kweli?
Mungu anasikia njaa, kula nk
ACHENI KUDHALILISHA UKUU WA MUNGU!
UNAPO SIKIA NENO YESU NI MAMBO NAWILI
1)MWILI na
2)NAFSI ....
kilicho lala ni mwili siyo nafsi ata wachawi wanaweza kuuacha mwili umelala ila nafsi zao zipo zinawanga ....kuhusu kula na kunya ni mwili .....UUNGU WA YESU UPO KATIKA NAFSI YAKE AMBAYO NDIYO BABA AMBAYO NDIYO MFALME AMBAYO NDIYO MUNGU MWENYEZI...SIYO KATIKA KIWILIWILI ....Tatizo lenu waislamu mnashindwa kujua tofauti ya nafsi na mwili ... YESU NI MWILI WA BINADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU MWENYEZI PEKEE.
 
Basi Yesu Kristo ni mwana wa Mungu.
 
Hii imemaliza kila kitu!
Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 8:58 – "Amini, amini, nawaambia, Kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
 

Na mara zote alipo kuwa anawaaga wanafunzi wake kuwa anakwenda kuomba na mara nyingine anaomba hadi analalia huko; unafikiri alikuwa akwenda kuomba kwa nani; na kwa nini aombe kama yeye ndiye Mungu ?
Watu wangu wata angamia kwa kukosa maarifa!
 
Na mara zote alipo kuwa anawaaga wanafunzi wake kuwa anakwenda kuomba na mara nyingine anaomba hadi analalia huko; unafikiri alikuwa akwenda kuomba kwa nani; na kwa nini aombe kama yeye ndiye Mungu ?
Watu wangu wata angamia kwa kukosa maarifa!
Yesu ni kielelezo kasome ...ni mwalimu..walimu utoa mifano kwa vitendo tumia akili...ndani ya uislamu kuna sehemu Allah ana sema ...na nukuu 👉Na apa kwa yeye aliye ziumba mbingu na ardhi ....sasa ana apa kwa nani ikiwa yeye ndiye mungu aliye ziumba mbingu na ardhi
 

Hayo ni maneno yako au maneno ya mafundisho ya mchungaji wako

Ungalituwekea walau aya moja kuthibitisha maneno yako
 

Biblia inasema kwamba Mungu sio mwanadamu​


‘Mungu sio mwanadamu’ (Hesabu 23:19)


‘Kwa maana mimi ni Mungu, wala sio mwanadamu’ (Hosea 11:9)


Yesu anaitwa mtu mara nyingi katika Biblia​


‘mtu ambaye amewaambia iliyo kweli’ (Yohana 8:40)


‘Yesu Mnazareti, mtu aliyeshuhudiwa na Mungu kwa miujiza na maajabu na ishara ambazo Mungu alizifanya kwa yeye katikati yenu, kama ninyi wenyewe mjuavyo.’ (Matendo 2:22)
 
Jina la Huyo Mungu mmoja ni lipi?
Jina la Huyo Mungu ni Allah lakini waliokutafsiria Biblia katika harakati zao za kutafuta ugali kwa udanganyifu wamelitoa hilo jina

NOW YOU SEE IT



 

Attachments

  • 1740922266585.jpeg
    74.5 KB · Views: 1
Je mungu ni mti au mungu ni moto? Mtume musa aliona mti uwakao moto akasema ni mungu ...hivyo mungu kuonekama kama mtu akumfanyi yeye kuwa mtu ...Yesu akuwa na nafsi ya binadamu bali nafsi ya Mungu.... hivyo nafsi ya mungu siyo mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…