Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Kosa ni wanaosema yesu ni NAFSI YA 2 YA MUNGU....
 
Yesu Kristo ni Mungu Mkuu
 
Kwa hiyo yesu ni mungu wa ngapi?
1)MUNGU NI NAFSI YA MUNGU MWENYEZI
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA BINADAMU.
3)ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MWANADAMU ( yaani nafsi mbili ndani ya mwili mmoja )
HIVYO MUNGU NA YESU NA ROHO MTAKATIFU NI NAFSI MOJA TU.
 
Sasa kama alikufa kwa nini unasema ni wa milele
Kilicho kufa ni mwili siyo nafsi ya Yesu maana msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi...alisema akimwambia yule mtu ...hivyo nafsi ya Yesu ni Mungu haiwezi kufa hata sekunde moja
 
Ushahidi unapaswa utoke nje ya kitabu kinachosadiki kuwa yeye ni Mungu, hiyo ni kwakuwa huo ni utetezi... Ni nadra shahidi kutoka ndani ya familia kugeuka kuwa upande mwengine
 
Mbona kuna wengine wanasema hao ni nafsi tatu za Mungu na wewe unasema ni nafsi moja tu
 
Kilicho kufa ni mwili siyo nafsi ya Yesu maana msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi...alisema akimwambia yule mtu ...hivyo nafsi ya Yesu ni Mungu haiwezi kufa hata sekunde moja
Na hata yule aliyeambiwa kuwa atakuwa na yesu peponi na yeye roho yake si itakuwa haifi isipokuwa mwili wake sawa tu na yesu
 
Na hata yule aliyeambiwa kuwa atakuwa na yesu peponi na yeye roho yake si itakuwa haifi isipokuwa mwili wake sawa tu na yesu
Ndiyo maana yake au ukusoma injili kuwa baadhi awatakufa kabisa wajapo kufa watakuwa wanaishi...kasome mafundisho ya yesu alielezea hilo jambo
 
Yesu sio Mungu bali hujilikana kama mwana wa Mungu.
 
Yesu sio Mungu bali hujilikana kama mwana wa Mungu.
Katika injili ukisikia Yesu anasema "MWANA" maana yake mwili wake....na unapo sikia anasema "BABA" umaanisha nafsi yake ambayo ndiyo MUNGU MWENYEZI.
Yesu akawaambia wanafunzi wake 👉hata 'mwana' ajui siku ya kiama ila 'baba' ....maana yake kuwa Yeye yesu anajua siku yakiama ila wanafunzi wake wakadhani ana maanisha yeye ajui...waka acha kumsumbua kumuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…