kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Huwez kuelezea kama hujui unaemuelezea ninaniUngeeleza hayo. Acha maswala ya ujanja ujanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwez kuelezea kama hujui unaemuelezea ninaniUngeeleza hayo. Acha maswala ya ujanja ujanja.
Siku zote Mfalme au Malkia huwa ni mmoja tu pia rejea mrejesho wangu wa awali. Yesu ni mwana wa Mungu hivyo vyovyote vile hawezi kuwa Mungu maana baabake (Mungu) mwenyewe yupo.Mbinguni kuna wafalme wangapi? .... sasa kwanini yesu alimjibu kaisari kuwa ufalme wake siyo wa dunia hii ...tumia akili wewe zuzu wa makanisani
Awezi kufa bila ya mungu kutaka ...pia unajuaje kuwa mungu alimfufua yule mtu msalabani siku ile ile katika nafsi ....kuna kufa nafsi na kufa mwili ..Ndio maana haiwezekani kutokufa yeyote asiyekuwa mungu anakufa
Hata kama kafa kwa sekunde kufa ni kufa tuAwezi kufa bila ya mungu kutaka ...pia unajuaje kuwa mungu alimfufua yule mtu msalabani siku ile ile katika nafsi ....kuna kufa nafsi na kufa mwili ..
Huyo mungu ndiyo nafsi ya yesu ....NAFSI YA MUNGU ILI TWAA MWILI NDIYO MAANA IKAANDIKWA 👉ALIONEKANA KAMA MWANA PEKEE ATOKAYE KWENYE KIFUA CHA BABA ...kwa nini aonekane kama 'mwana pekee'? ikiwa ni mwana ?Siku zote Mfalme au Malkia huwa ni mmoja tu pia rejea mrejesho wangu wa awali. Yesu ni mwana wa Mungu hivyo vyovyote vile hawezi kuwa Mungu maana baabake (Mungu) mwenyewe yupo.
Nazungumzia yule mtu siyo yesu yesu ajafa wa afi kwa kuwa ni nafsi ya mungu kilicho kufa na kufufuka siku ya tatu ni mwili wa yesu siyo nafsi yake ....Hata kama kafa kwa sekunde kufa ni kufa tu
Huo unaitwa 'mwanzo wa milele'Hapo mwanzo..
je kabla ya mwanzo kulikuwa na nini na nani?
Mbona wengine wanasema kuwa yesu alikufaNazungumzia yule mtu siyo yesu yesu ajafa wa afi kwa kuwa ni nafsi ya mungu kilicho kufa na kufufuka siku ya tatu ni mwili wa yesu siyo nafsi yake ....
Inaendelea ....👉 nlNaye neno akafanyika mwili akaja duniani naye akaonekana kama mwana pekee atokaye katika kifua cha baba.....kumbuka inasema anaonekana kama 👉mwana pekee atokaye katika kifua cha baba ...maana yake yesu alionekana kama mwana wa mungu ila siyo mwana wa mungu bali ni mungu mwenyewe.Sasa ulijuaje kwamba huyo neno ni yesu
Wapumbavu hao wanao sema Yesu alikufa ...kilicho tokea msalabani ni hiki ..Nafsi ya mungu ilitoka ndani ya mwili wa yesu huko ndiyo kufa kwa yesu ila nafsi ilikuwa hai mwili wake ndiyo uliokufa na siku ya 3 nafsi ya Mungu ikaulejea mwili huko ndiyo kufufuka.Mbona wengine wanasema kuwa yesu alikufa
Kwa hiyo hakuna mungu mwingine ila yesuInaendelea ....👉 nlNaye neno akafanyika mwili akaja duniani naye akaonekana kama mwana oekee hatokaye katika kifua cha baba.....kumbuka inasema anaonekana kama 👉mwana pekee atokaye katika kifua cha baba ...maana 7ake yesu alionekana kama mwana wa mungu ila siyo mwana wa mungu bali ni mungu mwenyewe.
Ila mambo yalivyokuwa magumu msalabani akaomba msaada kwa mungu1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."
Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 8:58 – "Amini, amini, nawaambia, Kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
2. Sifa za Kimungu alizo nazo Yesu
Uwepo wake wa milele – Mika 5:2
Uwezo wa kusamehe dhambi – Marko 2:5-7
Uwezo wa kutoa uzima wa milele – Yohana 10:28
Uwezo wa kuhukumu ulimwengu – 2 Wakorintho 5:10
3. Miujiza inayodhihirisha Uungu wa Yesu
Kubadili maji kuwa divai (Yohana 2:1-11) –
Kutembea juu ya maji (Mathayo 14:25-27)
Kutuliza dhoruba (Marko 4:39)
Kufufua wafu (Yohana 11:43-44)
Kupaa mbinguni (Matendo 1:9-11)
4. Unabii wa Agano la Kale ulitimia kuhusu Uungu wa Yesu
Katika Isaya 9:6 – Yesu anaitwa "Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele."
Katika Mathayo 1:22-23, tunasoma jinsi unabii huo ulivyotimia:
"Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii, akisema, Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, Naye watamwita jina lake Imanueli; yaani, Mungu pamoja nasi."
5. Watu Walimwabudu Yesu na kukiri kuwa ni Mungu
Mathayo 28:9,17 – Wanafunzi wake walimsujudia.
Yohana 20:28 – Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu! Yesu alipoambiwa na Tomaso kuwa ni Mungu, hakukanusha.
Kama unadai Yesu sio Mungu, toa sababu zako hapa
Kumbe nafsi ilikuwa ya mungu ila mwili ndo wa yesuWapumbavu hao wanao sema Yesu alikufa ...kilicho tokea msalabani ni hiki ..Nafsi ya mungu ilitoka ndani ya mwili wa yesu huko ndiyo kufa kwa yesu ila nafsi ilikuwa hai mwili wake ndiyo uliokufa na siku ya 3 nafsi ya Mungu ikaulejea mwili huko ndiyo kufufuka.
Ndiyo ...na hakuna mungu mwingine ila ule mti uwakao moto aliokutana nao mtume musa ni mungu huyo huyo ....Kwa hiyo hakuna mungu mwingine ila yesu
Embu acheni hizo sinema zenu mnajichanganya hadi hamjui hata mnaongea nini, mara mungu katoka mara mtoto wa mungu, acheni kumchezea mungu kwa ujinga wenu wenyeweWapumbavu hao wanao sema Yesu alikufa ...kilicho tokea msalabani ni hiki ..Nafsi ya mungu ilitoka ndani ya mwili wa yesu huko ndiyo kufa kwa yesu ila nafsi ilikuwa hai mwili wake ndiyo uliokufa na siku ya 3 nafsi ya Mungu ikaulejea mwili huko ndiyo kufufuka.
Sasa Baba yake yesu ni naniNdiyo ...na hakuna mungu mwingine ila ule mti uwakao moto aliokutana nao mtume musa ni mungu huyo huyo ....
Kama Yesu awezi kuwa mungu basi hata mti uwakao moto ulio jitambulisha mbele ya mtume musa kuwa ni mungu haukuwa munguEmbu acheni hizo sinema zenu mnajichanganya hadi hamjui hata mnaongea nini, mara mungu katoka mara mtoto wa mungu, acheni kumchezea mungu kwa ujinga wenu wenyewe
Sasa hebu kuwa specific mungu mmoja anayetajwa ni yupiKama Yesu awezi kuwa mungu basi hata mti uwakao moto ulio jitambulisha mbele ya mtume musa kuwa ni mungu haukuwa mungu
TUMIA AKILI UNAPO TAJA JINA YESU UNAMAANISHA MAMBO MAWILISasa Baba yake yesu ni nani