Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Kwa hiyo yesu ndiye huyohuyo mungu baba
Yesu anapo sema "mwana" umaanisha mwili wake ...na anapo sema "mungu Baba" umaanisha nafsi yake kasome upya injili ...ndiyo maana yesu alikuwa anafutia dhambi watu hadi mafarisayo wakamshutumu kuwa anakufuru wakisemq ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja tu ndiye Mungu.
 
Yesu anapo sema 'mwana' umaanisha mwili wake ...na anapo sema 'mungu Baba umaanisha nafsi yake kasome upya injili ...ndiyo maana yesu alikuwa anafutia dhambi watu hadi mafarisayo wakamshutumu kuwa anakufuru wakisemq ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja tu ndye Mungu.
Hiv yesu ni mtu au sio mtu
 
Hivi mti ni mti au siyo mti ...? Hivi moto ni moto au siyo moto ...? Basi mtume Musa alikutana na mti utoao moto akasema ni mungu na huo mti na ule moto ulijitambulisha kwake kuwa ni Mungu...tumia akili
Niambie tu yesu ni mtu au siyo mtu
 
Yesu ni emmanuel yaani mungu pamoja nasi hivyo yesu siyo mtu kwa sababu nafsi yake siyo ya mwanadamu bali nafsi yake ni mungu
 
Niambie tu yesu ni mtu au siyo mtu
Niambie mti ni mti au la na moto ni moto au la ...maana na mimi nataka kumuuliza Mtume musa hilo swali maana anasema kakutana na mungu mti uwakao moto
 
Wanaomuita yesu ni Mungu hao wote ni katika watu waliokufuru, na ibada za watu hao waliokufuru huomba kwa jina la mwanadamu huyo anaeitwa yesu badala ya kuomba kwa jina la Mungu mmoja aliemuumba huyo yesu.
😀😀😀😀
 
Sasa mbona yeye kasema yeye ni mtu
Mwili wa mtu nafsi ya mungu ...yesu alisema nafsi ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu ....mwili ndiyo mwili wa mtu nimekuambia sana kuwa neno Yesu ni mambo mawili
...Yesu ni MUNGU MFANO WA MTU (MWANADAMU) moto na mti alio uona na kuzungumza nao Mtume Musa ...ni MUNGU MFANO WA (MTI NA MOTO)
 
Lakini yesu si mtu?
 
Yohana 14:2-3
"Nyumbani kwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena na kuwakaribisha kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo."
2. Marko 10:18

"Yesu akamwambia, Mbona waniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu."
3. Yohana 17:3

"Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
4. Yohana 20:17

"Yesu akamwambia, Usinishike; kwa maana sijapanda kwenda kwa Baba; lakini enenda kwa ndugu zangu, ukawaambie, Napanda kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu."
jibu hapa yesu siyo Mungu
 
Hadithi ya mtume BUKHARI 3435 Unasema Yesu ni neno wa mwenyzi MUNGU. "kallima tu Allah"😀
Inasema ametokana na neno lake la "kuwa" Na akawa
Acha porojo wewe 😃

Halafu mimi nimemuuliza namna yeye kalijua hilo kupitia biblia
 
Back
Top Bottom