Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kiranga alinikimbiaga nilimdhiilishia upumbavu wake nilimueleza mungu ni nini kisayansi siyo kidini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiranga alinikimbiaga nilimdhiilishia upumbavu wake nilimueleza mungu ni nini kisayansi siyo kidini tu
Nakubaliana na weweDini ya kweli ya mwafrika ni ile iliyokuwepo kabla ya ujio wa watu weupe. Tutapigana,tutachukiana,na kupalangana Sana na hatuelewi hizo chuki zatoka wapi. Tunapigana na kuchukiana bure tu...🏃
Rudi nyuma nilielezea hayo yote neno mwana ni mwili wa yesu na neno baba ni nafsi ya yesu ambayo ndiyo mungu ....hivyo yesu akisema nakwenda kwa baba umaanisha nafsi yake ...ambayo ni kuu kuliko mwili wake ....nukuu wanafunzi wa Yesu wakamuuliza kiama itakuwa lini ? Yesu akajibu hata mwana ajui ila baba ...wwnafunzi wake wakadhani kawaambia kuwa ajui siku ya kiama kumbe maana ya yale maneno yalikuwa ni mwili aujui ila nafsi yangu inajua ...baba ndiyo nafsi ya yesuYesu sio Mungu
Yohana 14:28 – “Mlisikia jinsi nilivyowaambia, ‘Ninakwenda zangu, nami nitarudi kwenu.’ Kama mngalinipenda, mngalifurahi kwa sababu ninakwenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuniliko.”
Yohana 17:3 – "Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Mathayo 27- 46 "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”
Mungu ni energy katika utumilifu wake wote na ufahamu wote ...vitu vyote ni energy hata mimi na wewe ni sehemu ya energy ila sisi hatuna utimilifu wa energy hivyo tunamipaka tuliyo wekewa na huyo aliye na utimilifu wa mamlaka ya ulimwengu wa energyHaya eleza hapa mkuu. Mungu ni Nini Lwiva
Wewe ni dini gani ? au ni mpagani kama mimi ? Najua utaniulixza kama wewe ni mpagani mbona unatetea mungu tena katika ukristo siyo uislamu ? Jibu ninalo piaNakubaliana na wewe
Ni utumwa ndio unetufikisha hapa Yani mtu tunabishania mambo ya Jerusalem na uarabuni utasema tulikuwepo 😀😀😀
Neno upagani limeletwa na watu weupe kwa lengo la kuwafanya watu weusi waogope dini na Imani zao wafuate za kuzungu,usihadAike na propaganda za hao watu.Wewe ni dini gani ? au ni mpagani kama mimi ? Najua utaniulixza kama wewe ni mpagani mbona unatetea mungu tena katika ukristo siyo uislamu ? Jibu ninalo pia
Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha ...nafsi yangu nafsi yangu mbona unauacha mwili....maana yake ni tendo la Nafsi ya Mungu kutoka katika mwili wa Yesu ....sijui uelewi nini ndiyo maana nasema kilicho kufa msalabani ni mwili maana nafsi ya huo mwili iliyo mungu ilitoka na kuuachq mwili ukiwa mfu ...mwili bila ya nafsi unakuwa ni mfu umekufaYesu sio Mungu
Yohana 14:28 – “Mlisikia jinsi nilivyowaambia, ‘Ninakwenda zangu, nami nitarudi kwenu.’ Kama mngalinipenda, mngalifurahi kwa sababu ninakwenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuniliko.”
Yohana 17:3 – "Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
Mathayo 27- 46 "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”
Mungu yupo hata kisayansi siyo kidini tuNeno upagani limeletwa na watu weupe kwa lengo la kuwafanya watu weusi waogope dini na Imani zao wafuate za kuzungu,usihadAike na propaganda za hao watu.
poa mkuu nimekupataDini ya kweli ya mwafrika ni ile iliyokuwepo kabla ya ujio wa watu weupe. Tutapigana,tutachukiana,na kupalangana Sana na hatuelewi hizo chuki zatoka wapi. Tunapigana na kuchukiana bure tu...🏃
Umenipata ktk muktadha upi? Wakuunga mkono hoja yangu amapoa mkuu nimekupata
Neno upagani alikuanzia kwa waafrica lilianzia kwa wazungu wao kwa wao kuitana hivyo ...siyo kama unavyo sema wewe kuwa ni neno maususi kwa waafrica.Neno upagani limeletwa na watu weupe kwa lengo la kuwafanya watu weusi waogope dini na Imani zao wafuate za kuzungu,usihadAike na propaganda za hao watu.
Marko 10:18Sahihi ndiyo maana kuna mwanafunzi wake mmoja anaitwa Filipo... alimwambia Yesu tuonyeshe 'Baba' yatosha, Yesu akamjibu kwa kumshangaa kuwa 👉filippo umekuwa nami siku zote usinijue! anionaye mimi kamwona Baba, mimi na baba ni kitu kimoja...mwisho wa kunukuu.
Hakukataa tumia akili ...nikama alivyo wajibu wanafunzi wake kuwa mwana ajui ila baba ...nikitu kilekile ...Yesu akuwa mwenye kuji dhihilisha wazi wazi uungu wake katika nafsi bali utaja baba au baba yangu au mungu ...akimaanisha nafsi yake hata hapo ...maana yake hakuna aliye mwema isipokuwa nafsi ya mungu ambayo ndiyo yeye mwenyewe.Marko 10:18
"Yesu akamwambia, Mbona uniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu."
Sasa hapo kwanini yesu alikataa kuitwa mwema na kusisitiza mwema ni mmoja tu ambaye ni Allah.
.......Hakukataa tumia akili ...nikama alivyo wajibu wanafunzi wake kuwa mwana ajui ila baba ...nikitu kilekile ...Yesu akuwa mwenye kuji dhihilisha wazi wazi uungu wake katika nafsi bali utaja baba au baba yangu au mungu ...akimaanisha nafsi yake hata hapo ...maana yake hakuna aliye mwema isipokuwa nafsi ya mungu ambayo ndiyo yeye mwenyewe.
Kabla ya mwanzo kulikuwa na Giza totoro na alikuwepo Elohim.Hapo mwanzo..
je kabla ya mwanzo kulikuwa na nini na nani?