Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Mbinguni kuna wafalme wangapi? .... sasa kwanini yesu alimjibu kaisari kuwa ufalme wake siyo wa dunia hii ...tumia akili wewe zuzu wa makanisani
Siku zote Mfalme au Malkia huwa ni mmoja tu pia rejea mrejesho wangu wa awali. Yesu ni mwana wa Mungu hivyo vyovyote vile hawezi kuwa Mungu maana baabake (Mungu) mwenyewe yupo.
 
Ndio maana haiwezekani kutokufa yeyote asiyekuwa mungu anakufa
Awezi kufa bila ya mungu kutaka ...pia unajuaje kuwa mungu alimfufua yule mtu msalabani siku ile ile katika nafsi ....kuna kufa nafsi na kufa mwili ..
 
Siku zote Mfalme au Malkia huwa ni mmoja tu pia rejea mrejesho wangu wa awali. Yesu ni mwana wa Mungu hivyo vyovyote vile hawezi kuwa Mungu maana baabake (Mungu) mwenyewe yupo.
Huyo mungu ndiyo nafsi ya yesu ....NAFSI YA MUNGU ILI TWAA MWILI NDIYO MAANA IKAANDIKWA πŸ‘‰ALIONEKANA KAMA MWANA PEKEE ATOKAYE KWENYE KIFUA CHA BABA ...kwa nini aonekane kama 'mwana pekee'? ikiwa ni mwana ?
 
Hata kama kafa kwa sekunde kufa ni kufa tu
Nazungumzia yule mtu siyo yesu yesu ajafa wa afi kwa kuwa ni nafsi ya mungu kilicho kufa na kufufuka siku ya tatu ni mwili wa yesu siyo nafsi yake ....
 
Sasa ulijuaje kwamba huyo neno ni yesu
Inaendelea ....πŸ‘‰ nlNaye neno akafanyika mwili akaja duniani naye akaonekana kama mwana pekee atokaye katika kifua cha baba.....kumbuka inasema anaonekana kama πŸ‘‰mwana pekee atokaye katika kifua cha baba ...maana yake yesu alionekana kama mwana wa mungu ila siyo mwana wa mungu bali ni mungu mwenyewe.
 
Mbona wengine wanasema kuwa yesu alikufa
Wapumbavu hao wanao sema Yesu alikufa ...kilicho tokea msalabani ni hiki ..Nafsi ya mungu ilitoka ndani ya mwili wa yesu huko ndiyo kufa kwa yesu ila nafsi ilikuwa hai mwili wake ndiyo uliokufa na siku ya 3 nafsi ya Mungu ikaulejea mwili huko ndiyo kufufuka.
 
Kwa hiyo hakuna mungu mwingine ila yesu
 
Ila mambo yalivyokuwa magumu msalabani akaomba msaada kwa mungu
 
Kumbe nafsi ilikuwa ya mungu ila mwili ndo wa yesu
 
Embu acheni hizo sinema zenu mnajichanganya hadi hamjui hata mnaongea nini, mara mungu katoka mara mtoto wa mungu, acheni kumchezea mungu kwa ujinga wenu wenyewe
 
Embu acheni hizo sinema zenu mnajichanganya hadi hamjui hata mnaongea nini, mara mungu katoka mara mtoto wa mungu, acheni kumchezea mungu kwa ujinga wenu wenyewe
Kama Yesu awezi kuwa mungu basi hata mti uwakao moto ulio jitambulisha mbele ya mtume musa kuwa ni mungu haukuwa mungu
 
Sasa Baba yake yesu ni nani
TUMIA AKILI UNAPO TAJA JINA YESU UNAMAANISHA MAMBO MAWILI
1)MWILI
na
2)NAFSI
Nafsi ya Yesu ndiyo nafsi ya MUNGU MWENYEZI...hivyo msalabani kilicho tokea ni NAFSI YA MUNGU ilitoka ndani ya mwili na hivyo mwili ukabaki bila ya nafsi na mwili ulibaki bila ya nafsi unakuwa umekufa . Baada ya siku ya 3 nafsi ya Mungu ikaulejea ule mwili...huko ndiyo kufufuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…