myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aisee..Anafufuka kesho,
Utamuuliza mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..Anafufuka kesho,
Utamuuliza mwenyewe
Na hapo Bado hawajaanza kuchambanaWanawake wana mambo kibao mkuu....
Wangeanza kujipamba,kwenda hedhi,kubeba mimba,kusengenyana na mwisho wangemtamani jesus mwenyewe...
Japo hata wale wanaume hawakukamilika lakni atlisti wanavumilika
"Mwalimu,mi niko period so sitoenda nawe nazaleti"Naombeni majibu wakubwa.
Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni.
Sitarajii kebehi
Ingawa ni kilatini, ila mada ifungwe tu!It was first century Judea and Galilee. Women were not permitted to leave the house without a male escort; they were not allowed to sit in the main area of the synagogues; they were not allowed on the Temple grounds; they were not allowed to speak openly with a man who was not a relative; and if a male visitor showed up at the house, they were required to leave the room until he was gone.
That poses some serious challenges to any woman who might want to travel around the countryside sleeping in ditches, bathing in rivers, and living in close quarters with a group of men. It would have been unthinkable at the time, and deeply offensive to their culture.
The early Church flaunted custom, allowing women to teach and attend services with the men, and that created massive backlash. The idea of men and women worshipping together was so scandalous to the Romans that Christians were accused of engaging in cannibalism, incest, and orgies during their services, and even as late as the fourth century, the Emperor Licenius forced all Christians to worship in open fields where the soldiers could keep the men and women separated.
🙏Naombeni majibu wakubwa.
Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni.
Sitarajii kebehi
Wanafunzi wa kike? SubutuuuuView attachment 2580629
Wanapita mbaali,,sijui Kwa Nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ana hoja, asikilizwe.
hata sasa biblia imekataza kumshika mwanamke aliye hedhiKipindi kile watu walikuwa wanafuata Torati.na ilikuwa sheria kuwa mwanamke akiwa hedhi lazima atengwe siku 7 kwa kuwa anakuwa mchafu.
Sasa kazi ya ukombozi inahitaji watu safi.ndo Mana wanawake hawakuwepo.Hata Leo mwanamke anatakiwa asiwe mchungaji kwa Hali yake.
Nini kilichosababisha wanawake wasiwe wanafunzi wa yesu?[emoji120]
Bila kebehi na bila kudharau wanawake - tunatakiwa kutumia akili kutambua asili ya uumbaji na mgawanyo wa majukumu kwa jinsia
WANAWAKE WALIFANYA MENGI KATIKA KUMFUATA KRISTO YESU JAPO HAWAKUWA KATI YA MITUME 70 WALA WALE 12
MITUME WALIJENGA MAZOEA WAKAKOSA KUYAONA ALIYOBEBA KRISTO, HAWAKUWA NA MAONO YA KIFO KILICHOKUA MBELE YA KRISTO ILA WANAWAKE WALIONA NA WALIELEWA YULE NDIYE ALIYEBEBA HATMA YA ULIMWENGU
MARKO 14: 3-9
1 Naye alipokuwapo Bethania, nyumbani mwa Simoni mkoma, ameketi chakulani, alikuja mwanamke mwenye kibweta cha marhamu ya nardo safi ya thamani nyingi; akakivunja kibweta akaimimina kichwani pake.
4 Palikuwa na watu waliochukizwa katika nafsi zao wakisema, Kwani kupoteza marhamu namna hii?
5 Maana marhamu hii ingaliweza kuuzwa kwa dinari mia tatu na kuzidi, wakapewa maskini. Wakamnung'unikia sana yule mwanamke.
6 Yesu akasema, Mwacheni; mbona mnamtaabisha? Amenitendea kazi njema;
7 maana sikuzote mnao maskini pamoja nanyi, na kila mpendapo mwaweza kuwatendea mema; lakini mimi hamnami sikuzote.
8 Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko.
9 Amin, nawaambia, Kila ihubiriwapo Injili katika ulimwengu wote, na hili alilotenda huyu litatajwa kwa kumbukumbu lake.
HAKUNA MAHALI WANAFUNZI WA KRISTO WALIHUSIKA KUMZIKA WALA KUFIKA MAHALA ALIPOZIKWA HADI ALIPOZIKWA ILA WANAWAKE WALIHUSIKA
LUKA 23:55-56
55 Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa.
56 Wakarudi, wakafanya tayari manukato na marhamu. Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa.
LUKA 24:10-12
10 Nao ni Mariamu Magdalene, na Yoana, na Mariamu mamaye Yakobo, na wale wanawake wengine waliokuwa pamoja nao;
11 hao waliwaambia mitume habari ya mambo hayo.
12 Maneno yao yakaonekana kuwa kama upuzi kwao, wala hawakuwasadiki. Lakini Petro aliondoka akaenda mbio hata kaburini, akainama akachungulia ndani, akaviona vile vitambaa vya sanda tu; akaenda zake akiyastaajabia yaliyotukia.
WANAWAKE WALIKUA MSAADA MKUBWA KWA JAMII
YOHANA 11: 3;21
3 Basi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake wakisema, Bwana, yeye umpendaye hawezi.
21 Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
Swali linasema kwann Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake????🙏

Hawachomoki Leo,,,,kinachonifurahisha majibu hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Swali linasema kwann Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake????
Na sio kwamba kwann Yesu hakuwataja wanawake!!
Mungu si mtu,,,mbona mnapingana,Mwanaume ameumbwa kwa mfano wa mungu ili atawale viumbe vyote soma biblia mwanzo 1:26 kwa hiyo yesu aliwachagua kuwa wanafunzi wake ili awafunndishe kazi.