Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nani?soma biblia vizuri, wapo wengi tu manabii wake
Umeeleza vizuri,ila hakuna kunako halalisha mamlaka ya kiuongozi/utawala kwa mwanamke.Ikumbukwe kuwa MWANAUME ndiye aliyeumbwa kwa mfano na kwa sura ya MUNGU,[mwanzo 1;26,]Ndiye aliyepewa mamlaka ya kuongoza na kutawala viumbe vyote duniani [akiwemo mwanamke aliye tokana na MWANAUME] MWANAUME ndiye aliyepewa jukumu la kusimamia na kuongoza Ibada [Ukuhani]. Huyu YESU KRISTO aliyekuwepo tangu kuwekwa msingi wa Ulimwengu na hata kuwa mkombozi wa wanadamu,asingeweza kuwa kinyume na asili ya mpango wa uumbaji.Shetani/Ibilisi anajua thamami ya MWANAUME mbele za MUNGU ,na ndiyo sababu alimtumia mwanamke kuharibu uhusiano wa MUNGU na MWANAUME kwa visa tofautitofauti [Hawa>Adam, Yusuf>mke wa mfalme wa Misri, Delila>Samson n.k],sasa hivi ameleta haki za wanawake na 50/50 na kutukosesha kwa MUNGU kwa kumweka mwanamke kuwa kiongozi wa taifa.Kupitia mwanamke Hawa/Eva dhambi iliingia ulimwenguni na kupitia mwanamke Mariam mwanamke alirudishiwa heshma kwa kumbeba Kristo Yesu
Na adhabu ya hiyo dhambi ndio ilimfanya mwanamke ashindwe kufanya baadhi ya majukumu
ADHABU YA MWANAMKE
MWANZO 3:15-16
15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
LUKA 1:28-35
28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
33 Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.
34 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
It was first century Judea and Galilee. Women were not permitted to leave the house without a male escort; they were not allowed to sit in the main area of the synagogues; they were not allowed on the Temple grounds; they were not allowed to speak openly with a man who was not a relative; and if a male visitor showed up at the house, they were required to leave the room until he was gone.
That poses some serious challenges to any woman who might want to travel around the countryside sleeping in ditches, bathing in rivers, and living in close quarters with a group of men. It would have been unthinkable at the time, and deeply offensive to their culture.
The early Church flaunted custom, allowing women to teach and attend services with the men, and that created massive backlash. The idea of men and women worshipping together was so scandalous to the Romans that Christians were accused of engaging in cannibalism, incest, and orgies during their services, and even as late as the fourth century, the Emperor Licenius forced all Christians to worship in open fields where the soldiers could keep the men and women separated.
Si bora Eva kuna yule Lilith, yule ndio balaa
Inasemekana alikua anajipumzisha hapoKatika wanafunzi 12 wa Yesu hapakuwepo na mwanamke.
Ila kuna mwanamke anaitwa Maria Magdalena huyu alikuwa zaidi ya wanafunzi wake.
Ili ndio jibu sahihi kabisa.hayo ni majibu mepesi sana pale unapo ongelea uwezo mkubwa aliopewa Yesu
Naamini kabisa kama kungekuwa na Umuhimu, Yesu hangeshindwa kubadili huo utamaduni (kwa nguvu za Mungu) hivyo kitendo cha yeye kukubaliana na huo utaratibu/utamaduni, kinaonesha kuwa huo ndio utaratibu Mungu aliouridhia
Sio ulimwengu wa kale, ndio uumbaji wa Mungu ulivyokuwa tangu mwanzoUlimwengu wa kale mwanamke alikuwa ni wa kuongozwa tu na mwanaume.
Sio udhalilishaji, ni utaratibu aliuweka na aliotaka kutufundisha kwa matendo na maneno pia.Usawa wa jinsia! Yesu alitufundisha nini alipochagua tu mitume wa kiume? Huenda Mungu ndiye mwanzilishi wa udhalilishaji wa jinsia!! Angalia alivyoumba mwanaume kwanza, ni kwa nini asiwaumbe kwa pamoja? Kaubavu kamoja ka mwanaume ndiko kakaunda mwanamke! Huu sio udhalilishaji?
Ni haijulikani mpaka leo kwanini ipo ovyo kuwa Yesu hakuwa na mtume mwanamke.Nimekuwa najiuliza sana hili swali na kukosa majibu
😀😁1. Period kila mwezi, muda wa kuhubiri injili tungetaka kwenda kubadili taulo na kuoga.
2. Tungewatia majaribuni mitume sanasana Yuda sababu ana tamaa sana.
3. Tungekua hata wanawake wawili kwenye hiilo kundi tungegombana kila siku.
Huwa najiuliza kuna majina ya kwenye biblia ya kiume wanapewa wanawake mfanoNaombeni majibu wakubwa.
Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni.
Sitarajii kebehi
🤣Aliogopa maswali "nitavaa Nini galilaya?"
kwa hiyo Yesu naye akaona ni sawa?Ulimwengu wa kale mwanamke alikuwa ni wa kuongozwa tu na mwanaume.
Yule hakuwa mwanafunzi