Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

Umeeleza vizuri,ila hakuna kunako halalisha mamlaka ya kiuongozi/utawala kwa mwanamke.Ikumbukwe kuwa MWANAUME ndiye aliyeumbwa kwa mfano na kwa sura ya MUNGU,[mwanzo 1;26,]Ndiye aliyepewa mamlaka ya kuongoza na kutawala viumbe vyote duniani [akiwemo mwanamke aliye tokana na MWANAUME] MWANAUME ndiye aliyepewa jukumu la kusimamia na kuongoza Ibada [Ukuhani]. Huyu YESU KRISTO aliyekuwepo tangu kuwekwa msingi wa Ulimwengu na hata kuwa mkombozi wa wanadamu,asingeweza kuwa kinyume na asili ya mpango wa uumbaji.Shetani/Ibilisi anajua thamami ya MWANAUME mbele za MUNGU ,na ndiyo sababu alimtumia mwanamke kuharibu uhusiano wa MUNGU na MWANAUME kwa visa tofautitofauti [Hawa>Adam, Yusuf>mke wa mfalme wa Misri, Delila>Samson n.k],sasa hivi ameleta haki za wanawake na 50/50 na kutukosesha kwa MUNGU kwa kumweka mwanamke kuwa kiongozi wa taifa.
 
Usawa wa jinsia! Yesu alitufundisha nini alipochagua tu mitume wa kiume? Huenda Mungu ndiye mwanzilishi wa udhalilishaji wa jinsia!! Angalia alivyoumba mwanaume kwanza, ni kwa nini asiwaumbe kwa pamoja? Kaubavu kamoja ka mwanaume ndiko kakaunda mwanamke! Huu sio udhalilishaji?
 

hayo ni majibu mepesi sana pale unapo ongelea uwezo mkubwa aliopewa Yesu
Naamini kabisa kama kungekuwa na Umuhimu, Yesu hangeshindwa kubadili huo utamaduni (kwa nguvu za Mungu) hivyo kitendo cha yeye kukubaliana na huo utaratibu/utamaduni, kinaonesha kuwa huo ndio utaratibu Mungu aliouridhia
 
Ulimwengu wa kale mwanamke alikuwa ni wa kuongozwa tu na mwanaume.
 
H
Ili ndio jibu sahihi kabisa.
Mamujay
 
Sio udhalilishaji, ni utaratibu aliuweka na aliotaka kutufundisha kwa matendo na maneno pia.
 
Naombeni majibu wakubwa.
Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni.

Sitarajii kebehi
Huwa najiuliza kuna majina ya kwenye biblia ya kiume wanapewa wanawake mfano
  1. Emmanuel - Emanuelia au Emanuela
  2. Stephano - Stephania
  3. Andew - Andrea (hutumika sana na wanawake Uingereza)
  4. Fabian - Fabiana
  5. Daniel - Daniela
 
Mariam Magdalene mwanafunzi wa kike aliyetembea na Yesu Kila alipokwenda, mwanafunzi wa kwanza wa kike aliyekuwa na Roho Mtakatifu na kutanganza habari za ufufuo wa Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…