Kwanini zabuni ya kuonesha Ligi Kuu Tanzania Bara haikutangazwa, kapewa Azam moja kwa moja?

Kwahiyo kwasababu wewe hukusikia that means tenda haikutangazwa ???

Tenda ilitangazwa kwenye vyombo vya habari , kapekue huko
 
Tido Mhando, Afisa Mtendaji wa Azam MEDIA mbele ya waandishi jana alisema hakuna taasisi au kampuni iliyojitokeza kwa TFF au Bodi ya Kuendesha Ligi ya Tanzania kutaka kutoa udhamini na hivyo Azam Media kujikuta inajitwika dhamana na wajibu mkubwa kutoa udhamini mnono ili kuhakikisha udhamini wake unaifanya Ligi ya Tanzania iweze kupanda toka nafasi ya nane barani Afrika kwa "mapesa" hadi nafasi ya tano.


Ingekuwa kampuni nyingine labda ingejiona ipo pekee na kutoa udhamini hafifu.
 
Sasa karia na wenzake watupishe maana ligi inaboreshwa na wadau Tff inazorotesha mpira na bodi yao
 
Tukisema umekurupuka tutakuwa tumekuonea mkuu?
 
Ujuaji mwingi kumbe huna unachojua!
Tenda ilitangazwa na kati ya walioomba ni Azam Tv, Star Times na TBC. Kati ya wote hao ni Azam pekee aliyetoa dau lililonona, wengine wote ni aidha waliichukulia poa ligi yetu au hawakuwa na mtaji wa kutosha.
Kwa dau hilo la Azam ni wazi kuwa tunaenda kuwa na ligi bora sana na yenye ushindani cause zile kero ndogondogo zilizokuwa zinazikabili team zetu zitatatuliwa na ushindani utabaki kiwanjani na si nje ya hapo.
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Namba 2 unakosea.
Ni BT na Sky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…