Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kwa vile tunakwenda kwenye Mahakama Mitandao, lazima tuwe na mawakili mtandao na uchaguzi wa mwakani tutapiga kura mtandao.Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uweo wa kiuchumi?
wakili wasio na fedha za nauli
Magu na pombeTasnia ya sheria iliharibiwa na watu wawili.
Wameiharibu mno.
Lissu tunduka na MsandoMagu na pombe
Kwa sababu its a total waste of timeTLS Ina wnchama zaidi ya elfu Tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu Moja Jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 awakujitokeza kwenda kuchagua Rais wao.
Lakini pia Kati ya waliojitokeza Kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana ambao kipindi Cha nyuma walikuwa wengi.
Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uweo wa kiuchumi? Kama asilimia 75 Wana ukwasi finyu taaluma hii inakwepaje makanjanja?
Kwa umaskini huu si wakati wa kuwaza kutumia Teknologia kupiga kura kuwapa haki mawakili wasio na fedha za nauli
Tasnia ya sheria iliharibiwa na watu wawili.
Wameiharibu mno.
Hiki chama kina mchango gani kwa jamii?TLS Ina wnchama zaidi ya elfu Tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu Moja Jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 awakujitokeza kwenda kuchagua Rais wao.
Lakini pia Kati ya waliojitokeza Kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana ambao kipindi Cha nyuma walikuwa wengi.
Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uweo wa kiuchumi? Kama asilimia 75 Wana ukwasi finyu taaluma hii inakwepaje makanjanja?
Kwa umaskini huu si wakati wa kuwaza kutumia Teknologia kupiga kura kuwapa haki mawakili wasio na fedha za nauli
Hata Mimi nashangaa sana,kila Mwaka uchaguzi, kwa nini wasifanye angalau kila baada ya miaka miwili au mitatu!!??Kwa sababu its a total waste of time
Ushaona wapi duniani taasisi inachagua head guy kila mwaka??? Deplorably ridiculous.
Halafu wanajiita wasomi🤣🤣🤣Uchaguzi kila mwaka ni Utoto! A serious man can't buy that stupidity!
Chama kisichokuwa na mchango kwa jamii na kuishia kuwa genge la mapuppets ya ccm ni heri tu mmesusia uchaguzi wao.Hiki chama kina mchango gani kwa jamii?
Kwani nauli na kulala hawagharamiwi na Chama Chao kilicho itisha huo uchaguzi!!??Hawana nauli si unajua mafuta yako juu
Miaka miwili au mitatu, mkipata rais ambaye hayuko sawa sawa kama lisu mnafanyaje kweli? Mnavumilia miaka miwili hadi mitatu?Hata Mimi nashangaa sana,kila Mwaka uchaguzi, kwa nini wasifanye angalau kila baada ya miaka miwili au mitatu!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app