Kwanini Zelensky analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin

Trump hawezi kumaliza vita hizo ni Polimilai tu

Ana ahadi ngapi ambazo kazishindwa?

Tena zile ambazo zilionekana rahisi kutekelezeka lakini alishindwa

What makes you think he would make it happen on this?
 
Zelensky ni Pandikizi la West! Hata Ukraine ikiteketea yeye hana hasara.
Anaiteketeza ni nani mbona ni Putin halafu anarusha lawama kwa Zelesky kuiteketeza Ukraine
 
Sababu walitaka iwe kama 2014 Crimea ilipochukuliwa.
Walitegemea Zele angewachekea tu.
Hawaamini kama hawakufika Kyiv
Kwa hiyo wamekasirika Zelenskyy kukomaa nao. Hicho ndo kiwafanye Russia wamlaumu wakati anajitetea
 
Intelejensia inasema Putin alipanga vita vya siku 3 hadi wiki 1 tu.
 
Kwa hiyo wamekasirika Zelenskyy kukomaa nao. Hicho ndo kiwafanye Russia wamlaumu wakati anajitetea
Urusi anapata hasara sana
Kapata hasara sana

Hakutegemea upinzani

Alijua atafanikisha kirahisi kama Crimea na Donbass

Kumbe watu wanamlia timing.

West yote ilikuwa ikiogopa pigana na Urusi, Ukraine alivyoweza zile siku za Mwanzo Poland na Uingeleza zilipeleka Manpads zakutosha
Baada ya hapo kila Urusi akitishia ndo hawamsikilizi

Ndio maana waona hadi leo bado hajafanikiwa

Na ndo maana waona West wanatoa hadi ndege zao kumshikisha adabu.


Kingine ni kuwa wangemchekea Urusi, China naye angeshaiteka Taiwan
 
Kwanini hizo nchi zinazoisaidia Ukraine zinakataza nchi nyingine zisiisaidie urusi?
Kwa sababu ni precedent mbaya ya vurugu kati ya nchi majirani kila kona duniani inayowekwa na Urusi.
 
Kwa sababu ni precedent mbaya ya vurugu kati ya nchi majirani kila kona duniani inayowekwa na Urusi.
Nimelipenda jibu lako lina hoja yenye haja.
 
Swali Fikirishi , hivi Trump akishinda uchaguzi ujao , je hii vita itakoma au Itaendelea ?
Itategemea mabunge ya House of Representatives na Senate yanaongozwa na watu gani.
 
Hadithi za Abunuwasi hizi.
 

Mmmh hapa nahis hapana nahis kati ya Rep na Dema wanaopenda ngumi zaidi ni Rep mkuu manake nikimkumbuka Bush sina hamu mkuu
 
Sentensi ya Mwisho ina hoja. Kwamba USA, German, UK & allies wangekaa kimya na kumwangalia Ukraine anaonewa. Russia na China wangeona ni mchezo mzuri. Hivyo China angetekeleza tishio lake la kuivamia Taiwan.
 
Nchi kama USA haiendeshi kwa utashi wa mtu. Zinaangaliwa zaidi interest za nchi. Kwenye hii vita swala la kiusalama ni priority #1 kwa USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…