Kwanini Zelensky analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin


Unataka kutuambia kuwa kwenye familia yako jilani yako ndo anakuchagulia cha kufanya au nini usifanye? Jilani anakupangia ni rafiki yupi uwe naye na nani asiwe rafiki yako? Una practice hicho nyumbani kwako au kwenu?
 
Mmmh hapa nahis hapana nahis kati ya Rep na Dema wanaopenda ngumi zaidi ni Rep mkuu manake nikimkumbuka Bush sina hamu mkuu
Sasa mkuu kwani Bush ndio Rais pekee wa Marekani. Na hapo nimeshasisitiza Republicans wakienda vitani huwa wanapigana kwelikweli hawana vita ndogo, kwenye Hip hop ni kama Kendrick Lamar, hatoi album kiholela ila akitoa anatoa kweli.
 
Putin alitaka aingie Ukraine ajipigie tu kwa siku 3 au wiki kakutana na upinzani mkali uliopelekea majeshi yake kusambaratika na vifaru vyake kulipuliwa
 
Hoja yako imeeleweka kwamba;
1. Putin/Russia angeachwa angeendeleza tabia ya kuvamia nchi huru kama alivyofanya labla kwa kujimegea Crimea, mikoa miwili ya Georgia nk.

2. PUTIN hakujua kuwa wanaume wanamsubiri kwenye uchochoro siku nyingi. Kwa hiyo kuivamia Ukraine ni kama alinasa kwenye mtego bila kujua ndo maana analalamika Ukraine kupewa silaha na marafiki zake
 
Trump hawezi kumaliza vita hizo ni Polimilai tu

Ana ahadi ngapi ambazo kazishindwa?

Tena zile ambazo zilionekana rahisi kutekelezeka lakini alishindwa

What makes you think he would make it happen on this?
Nimeweka possibilities mbili sasa sijui hujaona
1) Kumaliza vita mapema sana (kasema mwenyewe na hakupendekeza option nyingine)
2) Vita kuendelea kwa kasi kubwa (Republicans kama ni vita wanaenda jumla jumla)
 
Nimeweka possibilities mbili sasa sijui hujaona
1) Kumaliza vita mapema sana (kasema mwenyewe na hakupendekeza option nyingine)
2) Vita kuendelea kwa kasi kubwa (Republicans kama ni vita wanaenda jumla jumla)
Option ya kwanza haiwezi kutokea.
 
Kama jirani yako yupo kwenye mikakati akishirikiana na adui yako kutaka kukumaliza, baada ya kufabamu hilo utachukua atua gani?
 
Wewe unavyoona Zelensky anajitetea au anaiteketeza nchi?
Hata akiiteketeza nchi yake lakini ni bora na wewe unakuwa umemtoa na wewe mangeu mvamizi ili akiparamia taifa jingine ajui ataumia tena mfano china kaogopa kuivamia Taiwan maana kaona Urusi anavyopata hasara na vikwazo juu
 
Hata akiiteketeza nchi yake lakini ni bora na wewe unakuwa umemtoa na wewe mangeu mvamizi ili akiparamia taifa jingine ajui ataumia tena mfano china kaogopa kuivamia Taiwan maana kaona Urusi anavyopata hasara na vikwazo juu
Ndivyo unavyojidanganya china ameohopa kuichukua Taiwan? Hilo ni suala la muda tu tuombe uhai. Ngoja kwanza Russia amelize kuwafunza adabu manyangau alafu china ajichukulie Teiwani yake kiulaini. Hasara gani aliyopata urusi dhidi ya vikwazo vilivyowekwa?
 
Anachokifanya RUSSIA [emoji635] pale Ukraine [emoji1255] ni sahihi kabisa na kila mpenda amani haki na maendeleo anatakiwa akisapoti
 
Tukiacha kukuuliza maswali magumu huenda ukazoea kupiga porojo na propaganda.

1. Hebu tutajie ni mwaka gani Zelenskyy alijiunga na CIA? hebu tupe na source kabisa.

2. Kama Zelenskyy aliongoza mapinduzi ya 2014. Kwa nini basi hakuwa Rais wa mpito badala yake akawa Oleksandr?

3. Kwa nini Zelenskyy hakugombea Urais baada ya serikali ya mpito ya Oleksandr kwenye uchaguzi wa 2014 na badala yake akagombea Petro kama Zelenskyy ndo aliyeongoza mapinduzi?

4. Umesema kuwa Zelenskyy alikuwa comedian, aliwezaje kuwa kiongozi wa mapinduzi wakati hakuwa na cheo chochote jeshini?

5. Umesema baada ya mapinduzi ilifanyika reform kwenye jeshi la Ukraine na kuwa jeshi lenye nguvu sana ulaya nzima. Je, una màana bara ka Ulaya au Ulaya mtaa uliopo Buza? Kwa hiyo German, UK, France wote walikuwa hawaoni ndani kwa jeahi la Ukraine? This is ridiculous.

NASUBIRI MAJIBU


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…