Wanaotunga uongo huo ni Pro Russia wa Buza.Kwani kipindi Urusi alipoivamia Ukraine na kuichukua Crimea mbona Zelesky hakuwepo madarakani kipindi Urusi anawasaidia waasi wa luhask na Donesk wajitengee Ukraine mbona Zelesky hakuwepo madarakani mimi naona Urusi anatumia propaganda kuhalalisha Uvamizi wake nchini Ukraine aonekane mwema na amechokozwa na nyie wanafiki mnapeleka lawama kwa mwathiriwa na kumtetea mchokozi na mvamizi
Ongera kwa UPUMBAVU. Unajua kitu kinachoitwa mikakati?Tukiacha kukuuliza maswali magumu huenda ukazoea kupiga porojo na propaganda.
1. Hebu tutajie ni mwaka gani Zelenskyy alijiunga na CIA? hebu tupe na source kabisa.
2. Kama Zelenskyy aliongoza mapinduzi ya 2014. Kwa nini basi hakuwa Rais wa mpito badala yake akawa Oleksandr?
3. Kwa nini Zelenskyy hakugombea Urais baada ya serikali ya mpito ya Oleksandr kwenye uchaguzi wa 2014 na badala yake akagombea Petro kama Zelenskyy ndo aliyeongoza mapinduzi?
4. Umesema kuwa Zelenskyy alikuwa comedian, aliwezaje kuwa kiongozi wa mapinduzi wakati hakuwa na cheo chochote jeshini?
5. Umesema baada ya mapinduzi ilifanyika reform kwenye jeshi la Ukraine na kuwa jeshi lenye nguvu sana ulaya nzima. Je, una mΓ ana bara ka Ulaya au Ulaya mtaa uliopo Buza? Kwa hiyo German, UK, France wote walikuwa hawaoni ndani kwa jeahi la Ukraine? This is ridiculous.
NASUBIRI MAJIBU
Mpaka sasa wiki haijaisha?Intelejensia inasema Putin alipanga vita vya siku 3 hadi wiki 1 tu.
Jibu swali acha porojoKwanza unafahamu wanachomlalamikia?
Rais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia USA na nchi za EU kwa sababu wanazozijua wao.
Inawezekana kabisa wanayoichukia USA & allies wakawa na sababu wanazoona za msingi kwa mitizamo yao, lakini kwa nini Rais Zelenskyy naye achukiwe na kulalamikiwa kwa kutetea nchi yake kisa tu eti wanaomuunga mkono na kumsaidia na USA na washirika wake.
Rais Putin kaenda mbali zaidi na kusema kuwa wanaomsaidia Ukraine wanarefusha vita (Prolong the war). Kwa nini Putin alalamike kuwa vita imekuwa ndefu. Yeye alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani.
Wanayoiunga Ukraine na kuisaidia ni wengi zikiwemo nchi zote za EU. Nafika mahala najiuliza maswali mengi sana. Machache nitayauliza na mengine mtaongezea;
1. Kwa nini Rais Zelenskyy analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin dhidi ya nchi yake.
2. Je, Putin na Pro Russia wanaamini kuwa Ukraine haina haki ya kujilinda na kupigania nchi yake?
3. Je, Rais Zelenskyy kafanya kosa kuamuru majeshi yake yapigane na Russia kutetea uhuru wake na kulinda mipaka yake?
4. Putin alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani mpaka afike mahala alalamike kuwa vita inarefushwa?
5. Kwa nini lawama zote anapewa USA huku akijumuishwa na NATO ili hali wanayoiunga mkono Ukraine na kuisaidia wako wengi?
6. Kwa nini hatusikii lawama nyingi zikielekezwa kwa German, Ufaransa, UK, Turkey, Italy na wengine wakati wote hawa wanatoa silaha kuisaidia Ukraine?
7. Kwa nini Rais Putin na Pro Russia wanamlaumu sana Rais Zelensky kwa kusaidiwa na USA.
8. Je, Putin na Pro Russia walitaka Ukraine asisaidiwe na marafiki zake kutetea na kupigania nchi yake?
9. Je, Rais Putin wakati anatangaza kuivamia Ukraine hakujua kuwa Ukraine ni nchi na ina nchi marafiki akiwemo USA ambao wanaweza kumsaidia kama ilivyo desturi ya mwanadamu kuwa rafiki yako au ndugu yako akipatwa na matatizo lazima umsaidie?
10. Kwa nini Putin kila hotuba yake anailaumu sana NATO huku akijua kuwa NATO ni mbwa tu wa USA na EU? Kwanini asihangaike na mwenye mbwa kuliko mbwa mwenyewe.
Tunahitaji kutafakari na kupata majibu ya haya maswali ili tujifunze zaidi. Mwenye majibu ya haya maswali tafadhari atusaidie. Tunahitaji tu majibu siyo porojo na propaganda na matusi.
Kivipi hebu tuelezeAnachokifanya RUSSIA [emoji635] pale Ukraine [emoji1255] ni sahihi kabisa na kila mpenda amani haki na maendeleo anatakiwa akisapoti
Hongera sana lakini utaeleweka na watu wenye akili timamu tu1---Mkuu maswali yako ni ya msingi sana kulingana na sheria za kimataifa na hivyo Russia lazima awajibishwe.
2---Kumekuwepo na double standards kwa mataifa makubwa kudhulumu haki na uhuru (sovereignty) wa mataifa.madogo bila kujali sheria za kimataifa na jambo hilo limekuwa likiongozwa na Marekani na NATO.
3--UNO chombo kikuu cha kimataifa kimekuwa hakina meno au kimekuwa.ni chombo kinachotumiwa na Marekani, NATO na Israeli kufanya chochote wanachopenda duniani, kifupi ulikuwa mono- polarised na hii ni baada tu ya kuvunjika kwa Soviet union na WARSAW Pact Countries.
4--- Kuvunjika kwa Soviet union katika ile miaka ya 89-90 kulianzishwa na Ukraine ikishinikizwa na Marekani.
5--- Putin alipata kusema kuvunjika kwa Soviet union ni tukio la aibu kubwa kupata kutokea.
6---Ukraine na Russia ni watu wanaojuana kwa asili tangu ilipokuwa USSR na wamekuwa wakingiliana kisiasa au kupambana kisiasa ukizingatia kwamba maeneo ya mpakani wa nchi hizo upande wa Ukraine ni dominated by Russia speaking people.
7--- Russia ukianzia na ile KGB ya USSR ni nchi miongoni mwa nchi zenye intelligence kali sana hivyo hufanya mambo wakiwa na uhakika na sababu ya wanachofanya.
8--- Hotuba ya Putin ya hivi karibuni kwenye mkutano wa nchi za (---) huko Moscow, ukimsikiliza ni kana kwamba anataka dunia iwe na usawa au dipolarised kitu ambacho kimepotea kutokana na ubabe wa Marekani, NATO na Isrsel, Putin asingependa tena kuona Russia federation ikivunjia kupitia Ukraine chini ya njama za Marekani. Nataka uunganishe dots kwenye hizo nukta 8 na hapo utapata majibu ya maswali yako.
Narudia tena kwamba kwa mujibu wa sheria za kimataifa Russia kafanya makosa kumvamia Ukraine jinsi Marekani alivyofanya makosa kuvamia Afghanistan, Iraq, NATO kumuua Ghadafi, Israeli kupora kwa nguvu ardhi za Wapalestina na kuikalia ardhi ya syria (Golan heights) kinyume na sheria za kimataifa na wakiulizwa wanatoa sababu na hoja kutetea uhalifu wao ndivyo hivyo hivyo Russia naye anatoa Sababu za kutetea uhalifu wake nayo ni kulinda usalama wake.
NB: The UNO inahitaji overall reforms.
You showed to us the level of stupidity and low IQ you have. I can't keep on arguing with a hopeless and hooligan person like you, who seems to be with retarded brain.Ongera kwa UPUMBAVU. Unajua kitu kinachoitwa mikakati?
Naona umetema yai π€£π€£π€£ hongera sanaYou showed to us the level of stupidity and low IQ you have.
Hii comment bora kabisa kwa mwez huu....!1---Mkuu maswali yako ni ya msingi sana kulingana na sheria za kimataifa na hivyo Russia lazima awajibishwe.
2---Kumekuwepo na double standards kwa mataifa makubwa kudhulumu haki na uhuru (sovereignty) wa mataifa.madogo bila kujali sheria za kimataifa na jambo hilo limekuwa likiongozwa na Marekani na NATO.
3--UNO chombo kikuu cha kimataifa kimekuwa hakina meno au kimekuwa.ni chombo kinachotumiwa na Marekani, NATO na Israeli kufanya chochote wanachopenda duniani, kifupi ulikuwa mono- polarised na hii ni baada tu ya kuvunjika kwa Soviet union na WARSAW Pact Countries.
4--- Kuvunjika kwa Soviet union katika ile miaka ya 89-90 kulianzishwa na Ukraine ikishinikizwa na Marekani.
5--- Putin alipata kusema kuvunjika kwa Soviet union ni tukio la aibu kubwa kupata kutokea.
6---Ukraine na Russia ni watu wanaojuana kwa asili tangu ilipokuwa USSR na wamekuwa wakingiliana kisiasa au kupambana kisiasa ukizingatia kwamba maeneo ya mpakani wa nchi hizo upande wa Ukraine ni dominated by Russia speaking people.
7--- Russia ukianzia na ile KGB ya USSR ni nchi miongoni mwa nchi zenye intelligence kali sana hivyo hufanya mambo wakiwa na uhakika na sababu ya wanachofanya.
8--- Hotuba ya Putin ya hivi karibuni kwenye mkutano wa nchi za (---) huko Moscow, ukimsikiliza ni kana kwamba anataka dunia iwe na usawa au dipolarised kitu ambacho kimepotea kutokana na ubabe wa Marekani, NATO na Israel, Putin asingependa tena kuona Russia federation ikivunjia kupitia Ukraine chini ya njama za Marekani. Nataka uunganishe dots kwenye hizo nukta 8 na hapo utapata majibu ya maswali yako.
Narudia tena kwamba kwa mujibu wa sheria za kimataifa Russia kafanya makosa kumvamia Ukraine jinsi Marekani alivyofanya makosa kuvamia Afghanistan, Iraq, NATO kumuua Ghadafi, Israeli kupora kwa nguvu ardhi za Wapalestina na kuikalia ardhi ya syria (Golan heights) kinyume na sheria za kimataifa na wakiulizwa wanatoa sababu na hoja kutetea uhalifu wao ndivyo hivyo hivyo Russia naye anatoa Sababu za kutetea uhalifu wake nayo ni kulinda usalama wake.
NB: The UNO inahitaji overall reforms.
Hata Ukraine hakuwa na mikakati hiyo ya kuivamia Urusi kwa kushirikiana na NATO hizo ni propaganda za Urusi kuhalalisha Uvamizi wake yeye Urusi ndio mwanzilishi wa vita vya kichokozi alianza kwa kuivamia Crimea akarudi akawaunga mkono waasi wa luhask na Donesk wajitengee Ukraine sasa akaivamia Ukraine yote mpaka sasa Putin sababu zake za kuivamia Ukraine hazieleweki huwa anabadilisha kila wakati alisema kuiondolea Ukraine nguvu za kijeshi akasema ni kuwaondoa wauza madawa ya kulevya,baada kuwaondoa wanazi maomboleo baadaye kuwatetea wananchi waukraine mashariki wanaozungumza kirusiKama jirani yako yupo kwenye mikakati akishirikiana na adui yako kutaka kukumaliza, baada ya kufabamu hilo utachukua atua gani?
Haulazimishwi kuamini anachokilalamikia putini, wewe endelea kuamini anachosema Zelensky na marekani. Russia imeshaamua kutetea maslahi yake na hakuna wa kum stop ktk hilo. Marekani kuiunga mkono Taiwan kujitenga ni sawa sawaHata Ukraine hakuwa na mikakati hiyo ya kuivamia Urusi kwa kushirikiana na NATO hizo ni propaganda za Urusi kuhalalisha Uvamizi wake yeye Urusi ndio mwanzilishi wa vita vya kichokozi alianza kwa kuivamia Crimea akarudi akawaunga mkono waasi wa luhask na Donesk wajitengee Ukraine sasa akaivamia Ukraine yote mpaka sasa Putin sababu zake za kuivamia Ukraine hazieleweki huwa anabadilisha kila wakati alisema kuiondolea Ukraine nguvu za kijeshi akasema ni kuwaondoa wauza madawa ya kulevya,baada kuwaondoa wanazi maomboleo baadaye kuwatetea wananchi waukraine mashariki wanaozungumza kirusi
Naona umetema yai π€£π€£π€£ hongera sana
Anaechoza hua hasaidiwi anaesaidiwa niyule alichokozwaKwanini hizo nchi zinazoisaidia Ukraine zinakataza nchi nyingine zisiisaidie urusi?
Maswali yangu nita summarize kwa contexts ya analysis yako.1---Mkuu maswali yako ni ya msingi sana kulingana na sheria za kimataifa na hivyo Russia lazima awajibishwe.
2---Kumekuwepo na double standards kwa mataifa makubwa kudhulumu haki na uhuru (sovereignty) wa mataifa madogo bila kujali sheria za kimataifa na jambo hilo limekuwa likiongozwa na Marekani na NATO.
3--UNO chombo kikuu cha kimataifa kimekuwa hakina meno au kimekuwa.ni chombo kinachotumiwa na Marekani, NATO na Israeli kufanya chochote wanachopenda duniani, kifupi ulikuwa mono- polarised na hii ni baada tu ya kuvunjika kwa Soviet union na WARSAW Pact Countries.
4--- Kuvunjika kwa Soviet union katika ile miaka ya 89-90 kulianzishwa na Ukraine ikishinikizwa na Marekani.
5--- Putin alipata kusema kuvunjika kwa Soviet union ni tukio la aibu kubwa kupata kutokea.
6---Ukraine na Russia ni watu wanaojuana kwa asili tangu ilipokuwa USSR na wamekuwa wakingiliana kisiasa au kupambana kisiasa ukizingatia kwamba maeneo ya mpakani wa nchi hizo upande wa Ukraine ni dominated by Russia speaking people.
7--- Russia ukianzia na ile KGB ya USSR ni nchi miongoni mwa nchi zenye intelligence kali sana hivyo hufanya mambo wakiwa na uhakika na sababu ya wanachofanya.
8--- Hotuba ya Putin ya hivi karibuni kwenye mkutano wa nchi za (---) huko Moscow, ukimsikiliza ni kana kwamba anataka dunia iwe na usawa au dipolarised kitu ambacho kimepotea kutokana na ubabe wa Marekani, NATO na Israel, Putin asingependa tena kuona Russia federation ikivunjia kupitia Ukraine chini ya njama za Marekani. Nataka uunganishe dots kwenye hizo nukta 8 na hapo utapata majibu ya maswali yako.
Narudia tena kwamba kwa mujibu wa sheria za kimataifa Russia kafanya makosa kumvamia Ukraine jinsi Marekani alivyofanya makosa kuvamia Afghanistan, Iraq, NATO kumuua Ghadafi, Israeli kupora kwa nguvu ardhi za Wapalestina na kuikalia ardhi ya syria (Golan heights) kinyume na sheria za kimataifa na wakiulizwa wanatoa sababu na hoja kutetea uhalifu wao ndivyo hivyo hivyo Russia naye anatoa Sababu za kutetea uhalifu wake nayo ni kulinda usalama wake.
NB: The UNO inahitaji overall reforms.
Huwezi kuwaambia hivi Wachina au Wahindi walio wengi wakakuelewa.Taifa la haki halitaki hata kuona Machukizo kwa Mungu kwa mambo ya bendera rangi nyingi,linapigana kwa ajili ya haki,[emoji848]
Wasitaka kuelewa ni mabeberu wa Marekani na Ulaya tuππππHuwezi kuwaambia hivi Wachina au Wahindi walio wengi wakakuelewa.
Kwahiyo Urusi inaongozwa na kibaraka wa Marekani? Sababu Urusi ndio imeanza kuvamia sasa ina maana Putin anaingizwa mkenge na Marekani au anafuata matakwa yao.Suala la zelensky kuiingiza Ukraine kwnyw machafuko lilikua suala la muda TU tangu zelensky kipind hicho hajawa hata raisi.
Kwa taarifa yako, zelensky alishakua agent wa CIA tangu kipind anasoma mpk Anafanya uchekeshaji Kisha kuingia Kwny siasa.
Zelensky ndo Alikua kiongozi wa mapinduzi ya 2014 kule Ukraine kwa kivuli Cha USA, kuingoa serikali pro Russia ya raisi aliyekua madarakani.
Lengo la zelensky kua raisi, Ni maksudi alisukwa ili aje kutumika kuiangusha russia.
Ndo maana baada ya zelensky kua raisi zikaanza reforms MBALIMBALI pale Ukraine na kulijengea uwezo mkubwa jeshi la Ukraine na kwa Kasi Sana ili lije kupambana na jeshi la Russia endapo wataingia vitani.
Kabla ya uvamizi, ulaya nzima hakuna jeshi lililkua na uwezo mkubwa was kijeshi kuzidi au hata kulingana na Ukraine.
Ujue hata Waukraine wenyewe walishapiga Sana kelele zelensky asiwe raisi wa nchi ila wakapuuzwa, ubabe ubabe wa USA na demokrasia ya mchongo akajikuta keshakua raisi[emoji4]
Soma Hii tweet hapa Chini wizara ya ulinzi inalalamika Miaka hiyo[emoji116]View attachment 2633558
Maswali yangu nita summarize kwa contexts ya analysis yako.
1. Unakiri kuwa Russia kafanya makosa na anastahili kuwajibishwaa kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine. Hapo umeeleweka vizuri sana.
2. Nimejaribu kupitia maswali niliyouliza against majibu yako sijaona kama umeyajibu. Zaidi nimeona umerusha mpira kwangu kuwa nitafute majibu mwenyewe. Umenishangaza kweli.
3. Kwenye maelezo yako umesema kuwa sababu ya Russia kuivamia Ukraine ni kwa sababu USA, Israel & NATO wanaonea nchi ndogo ndiyo maana na yeye (Russia) kafanya hivyo kwa lengo la kuhakikisha kuwa Dunia iwe depolarized states. Lakini maelezo yako ya mwanzo umekiri kuwa Russia kakosea na anatakiwa kuwajibishwa. Je, kwa nini Russia hajaipiga USA iliyosababisha muungano wa ki soviet uvumjike kwa kuitumia Ukraine? Why aionee Ukraine ili hali mchokozi mkuu (USA) na kachokozi kadogo (Israel) wapo?
ili kuleta usawa wa Dunia (Depolarised states).
3. Umesema aliyesababisha USSR kuvunjika ni Ukraine, kwa maana ya muungano wa nchi za ki soviet na hatimaye baadhi nchi zikarudi kwenye sovereignty zake ikiwemo Ukraine japo kuna wengine mpaka leo wako na Russia. Hapo wewe unaona kuna tatizo kwa Ukraine kurudi kwenye mipaka yake na kujitawala kama taifa huru, kama ilivyo kwa Latvia, Lithuania, Estonia, etc kisa eti Russia aliumia sana USSR kuvunjika.?
Hujanielewa kabisa nilichosema na pia lazima uelewe kwamba vita ya Russia na Ukraine ni mtambuka, utakosea kuichambua kwa kuangalia tu Ukraine na Russia za leo bila kuangalia historia zao zilipokuwa ndani ya umoja wakisoviet..
Labda nibadilishe tune; Dunia leo inaongozwa na sheria za kimataifa (UNO laws), tumeshuhudia sheria hizo zikivunjwa na Marekani pamoja na nchi za NATO na Israeli kwa maneno mengine America na hizo nchi ndiyo mwanzilishi wa kuvunja sheria hizo nazo zinapaswa zilaumiwe jinsi leo Russia inavyopaswa kulaumiwa kwa kuivamia Ukraine.
Ukiziuliza hizo nchi kwanini zilivunja sheria za kimataifa zitakupa sababu na Russia naye akiulizwa kuhusu uvamizi naye anatoa sababu zake. Sasa utaona kwamba nguvu ndio zinazotawala na sio tena sheria za kimataifa.
Kuvunjika kwa Soviet union vuguvugu lilianzishwa na Waukraine wakihamasishwa na Marekani, hadi Zelensky anaingia madarakani tayari kuna mkono wa America, sasa Ukraine ikiwa na kiongozi ambaye ni American /NATO stooge hiyo kwa mtazamo wa Russia ni kitisho kwa usalama wake.
Shida ipo kwenye UNO kushindwa kudhibiti au hata kuziunga mkono nchi zenye nguvu kujichukulia sheria mkononi.
Kuhusu Russia kuivamia Ukraine, tukiachana na sheria za kimataifa, inatupasa tupeleleze kwa kutumia rational na common sense na ushahidi wa kimazingira tu je Russia inayosababu yenye mashiko kuivamia Ukraine?? je, ni kweli usalama wake ulikuwa hatarini kwa Ukraine kutaka kujiunga na NATO nk??, kwa maoni yangu jibu ni ndio kwani Russia na Ukraine ni mahasimu tangu walipokuwa ndani ya USSR, NATO ni western counterpart ya iliyokuwa WARSAW pact ya nchi za ulaya mashariki, hivyo NATO kwa asili ni adui wa Russia naye anaona ni hatari kumkaribisha adui mpakani mwake.
NB:UNO inahitaji marekebisho makubwa ili mambo wanayofanya hayo mataifa makubwa yasiwe yakitokea, shida ipo kwenye UNO.