Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

Endelea kujiuliza kama mtu fulani anajiuliza jambo fulani ile tangazo la ebola kusainiwa na mawaziri wawili wa JMT na SMZ!!!

Kwani SMZ si sehemu ya JMT?! Au hadhi ya SMZ Sasa ina inashabiriana na JMT?!

Yule mtu fulani bado anajiuliza hoja hiyo, nami napata na mfadhaiko wa tafukuri yake ya mtu fulani...
 
Endelea kujiuliza kama mtu fulani ansuliza jambo fulani ile tangazo la ebola kusainiwa na mawaziri wawili wa JMT na SMZ!!!

Kwani SMZ si sehemu ya JMT?! Au hadhi ya SMZ Sasa ina inashabiriana na JMT?!

Yule mtu fulani bado anajiuliza hoja hiyo, nami napata na mfadhaiko wa tafukuri yake ya mtu fulani...
Afya ni suala la Muungano ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Ya kwa Mpiga Busu matata Msumbiji baada ya kutoka kupanda Dala Dala kwa Marehemu Mkoloni Wetu na hata ya sasa ya kwa Mwarabu wa Dubai ni mfano Hai wa ninachokiuliza.
Ashagundua misukule ya marehemu dikteta huwa inaumia roho akisafiri, maana mwehu wao alikuwa anaogopa kusafiri kozi lugha ilikuwa inamsumbua na kingine uoga
 
Kwenye hii miaka 10 (2015-2025), wengi tutapoteza jasho jingi sana kwenye miiki yetu, kwa sababu tu ya makosa ya watu wachache kule Dodoma.

Natamani kuona baada 2025, nchi inarudi katika njia sahihi, huku ikichagizwa na uwepo wa Katiba ya Wananchi.
 
Kanyaga twende mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7
 
Back
Top Bottom