Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

Sio tu kwamba akili za watanzania ziko chini kama mwenzetu mmoja alivyoleta uzi unaotembea humu, bali pia hatuna kazi za kufanya........muda mwingi tupotupo tu kuchunguza na kusengenya watu, kama sio kuwazushia. Humu ni kwa great thinkers, unafikiria huko nje hali ikoje?!!!
 
Ashagundua misukule ya marehemu dikteta huwa inaumia roho akisafiri, maana mwehu wao alikuwa anaogopa kusafiri kozi lugha ilikuwa inamsumbua na kingine uoga
Daah usitake kutuaminisha huyu Hangaya anaijua lugha mbona hotuba zake nyingi za kiingereza lazima asome madesa?? Mie nafikiri hata kuondolewa kwa Mama Libe ni shauri ya Inferiority complex tu hamna jingine. Mulamula shule kaenda na anatema mayai huyo mwingine mpaka asome tu.
 
Kwahiyo ni kosa kusoma hotuba iliyokwisha andikwa? Kwamba hata kwa kiswahili pia hawasomagi hotuba iliyokwisha andikwa sababu wanaijua vizuri lugha ya kiswahili au!?
 
Ya kwa Mpiga Busu matata Msumbiji baada ya kutoka kupanda Dala Dala kwa Marehemu Mkoloni Wetu na hata ya sasa ya kwa Mwarabu wa Dubai ni mfano Hai wa ninachokiuliza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom