Kwanini Zitto anatukana Serikali nzima na anaachwa tu?

Kwanini Zitto anatukana Serikali nzima na anaachwa tu?

Huyo Mkigoma mwache ana mambo yake...mara sijui Mtu atageuka bwawa...wewe tuonyeshe mwingine anayefanya hivo tukuonyeshe advertise.
 
Zitto anatumika na CCM kwa malengo maalumu, Zitto hana chembe ya ukweli na ni mtu wa kupuuzwa siku zote! Jiulizeni kwanini viongozi wa CHADEMA wakiongea kidogo tu kesho ndani na kesi luluki na sio Zitto! ana kazi maalumu tena kwa ujira toka CCM.
 
SONGOKA,
Kuwa mvumilivu mkuu. Kwa hiyo ulitaka afanyweje? Auwawe? Ukiona serikali iko kimya ujue hajavunja sheria yeyote... KUSONGOKA kwako kumedumaza uwezo wako wa kunyambua mambo
 
SONGOKA,
Mbona na Mimi nimeichagua lakin nàona zitto Hana kosa , Ni maoni yake , Kama vipi na yeye tumtukane kwamba yeye ndio zwazwa 😀😀
 
SONGOKA,
Ramli chonganishi - unamtuma huyu atukane with impunity. Haguswi. Wengine wathubutu?
Mwisho wa siku hawaaminiani. Wasiungane hata siku moja. Wewe unakaa pembeni unaangalia muvi na Kili bariidi.
 
SONGOKA,

Ramli chonganishi - unamtuma huyu atukane with impunity. Haguswi. Wengine wathubutu?
Mwisho wa siku hawaaminiani. Hawatoungana hata siku moja. Wewe unakaa pembeni unaangalia muvi na Kili bariidi. Raha tele. Hata hivyo wale wanaujua ukweli. Hadanganywi mtu hapa.
 
SONGOKA,
Huyo kaka kachanganyikiwa, alitegemea teuzi kubwa ziwe upande wake awamu hii haswa kigezo cha kubakia bungeni wakati wabunge wote wa upinzani wakiwa wametoka bungeni lakini mambo hayajawa kama alivyotarajia.

Na wakati mwingine kukaa kimya wakati mtu anabwabwaja ni jibu tosha kabisa.
 
Sisi Wananchi tunachoshwa na tabia za Zitto
Serkali imchukulie hatua za kinidhamu
Kuna mtu aliwaita VILAZA wanachuo waliokuwa wanasoma Diploma ya Education chuo kikuu cha Dodoma mwaka 2016. Mwisho waliondolewa. Naomba kufahamu kama aliwatukana. Nani mwenye haki ya kutukana wengine hapa Tanzania. mbona mnalazimisha kujenga matabaka ya watu wasio na haki ya kusema chochote?
 
Huyo kaka kachanganyikiwa, alitegemea teuzi kubwa ziwe upande wake awamu hii haswa kigezo cha kubakia bungeni wakati wabunge wote wa upinzani wakiwa wametoka bungeni lakini mambo hayajawa kama alivyotarajia.

Na wakati mwingine kukaa kimya wakati mtu anabwabwaja ni jibu tosha kabisa.
Nshomile wa Ngara
 
Back
Top Bottom