Kwanini Zitto anatukana Serikali nzima na anaachwa tu?

Kwanini Zitto anatukana Serikali nzima na anaachwa tu?

Mleta Mada kaamua kuwapa Amri katibu mkuu wa CCM na mwenyekiti wa CCM Taifa inashangaza sana, siku hizi kumbe mwana CCM yeyote hutoa Amri ya kuwanyanyasa wapinzani
 
Mod unganisheni hii thread kwenye nyuzi hapa chini.


 
Lazima nilalamike kwa kuwa huyu member anayejiita Remote kavunja sheria za jamii forum na ameachwa anatamba tu tena anatishia Amani? Kwani yeye ni nani humu JF?
Kwanini ananifanyia hivi? Sitakubali kwa kweli nampa last warning

Nitachukua hatua binafsi za kujihami
Wewe ni mjinga sana unakumbuka unavyonitishiaga amani?takataka kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SONGOKA,
Ulichoandika kime reflect uwelewa wako ulivyo mdogo.

Hivi unafaham maana ya neno 'tusi'!?

Think big acha ushamba.
 
Kwani kuitwa mshamba ni tusi? au kuambiwa mazwazwa ni tusi? hebu leta tafsiri yako acha uzwazwa!
Ni jamii ya watu tulionao na ndiyo maana ccm inatawala.

Mshamba ni tusi!
Shule za kata ni hatari sana.
 
Kuwa na vyama vingi vya siasa ni mojawapo ya njia nzuri kabisa ya kuzoofisha CHAMA KIKUU CHA UPINZANI
 
Ulichoandika kime reflect uwelewa wako ulivyo mdogo.

Hivi unafaham maana ya neno 'tusi'!?

Think big acha ushamba.
ukirudia kusoma hicho ulichoandika utajidharau sana,
 
SONGOKA,
Tuna mengi tusiyoyajua,usije ukadhani kila kinachoitwa chama cha upinzani kweli ni chama cha upinzani.Vyama vingi kama sio vyote ni strategic partners.Kalaga baho.
 
SONGOKA,
Inabidi serikali kipitia idara ya habari maelezo wathibitishe uongo wa Zitto Zuberi Kabwe kwa kuweka facts hadharani.
 
Mara kadhaa Zitto amekuwa akikejeli na kutukana serikali ya awamu ya tano tena kwa maneno ya kebehi na dharau bila uoga wowote wakati akijua kuwa serikali ni pamoja na sisi wananchi wote wa nchi hii. Maneno yake maarufu anayotumia kuitukana serikali na nchi kwa ujumla ni "mazwazwa" na "washamba"

Hivi hiki kiburi cha kutuita wananchi wa Tanzania na viongozi wetu tuliowachagua kuwa ni MAZWAZWA na WASHAMBA Zitto unakipata wapi?

Serikali kwanini mnamruhusu Zitto kutukejeli na kututusi wananchi na watanzania wote? Sisi watanzania tuliowachagua hao viongozi na kuiweka Serikali ya awamu ya tano madarakani tutakuwa katika nafasi gani kama viongozi tuliowachagua wanadhalilishwa eti ni WASHAMBA na MAZWAZWA,

brother Zitto jisitiri na sisi tukusitiri,
Serikali ikiongozwa na watu mazwazwa na washamba, halafu mtu akasema hawa viongozi ni mazwazwa na washamba, huyo mtu katukana au kasema kweli tu?
 
Serikali ikiongozwa na watu mazwazwa na washamba, halafu mtu akasema hawa viongozi ni mazwazwa na washamba, huyo mtu katukana au kasema kweli tu?
Mkuu na wewe leo unaungana na mabeberu kutushambulia sisi taifa huru?
 
Mzee baba hajajua hadi Leo kwamba dunia ya leo hata ukiwa mtawala wa nchi huwezi kutawala unavyotaka wewe kama walivyotawala kina mfalme Daudi enzi za Israeli.
 
Mkuu na wewe leo unaungana na mabeberu kutushambulia sisi taifa huru?
Katika moja ya vitu vinavyoonesha ujinga, kimoja wapo ni simplification.

Kwamba, ukihoji kusakamwa Mtanzania anayetumia haki yake ya kikatiba kujieleza, kwa kutaka kuangalia facts, basi wewe unaungana na beberu.

Kitu cha kwanza kuelewa ni kwamba, mimi sijaungana na mtu, mimi natetea dhana.

Simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

Mimi simjadili mtu, simjadili Zitto, sijadili mabeberu, sijadili tukio hili, mimi nakwenda mbali zaidi.

Najadili idea, najadili free speech Tanzania, najadili constitutional rights za Mtanzania, najadili ikiwa serikali ni inaongozwa na washamba, factually, na mtu akasema serikali inaongozwa na washamba, mtu huyo atakuwa katukana au kasema ukweli tu?

Hujajibu hoja, unaleta viroja vya mabeberu.

Habari za mabeberu naweza kukwambia ni narrative inayotumiwa sana na watawala kuwafunga macho wanaotawaliwa ili wanaotawaliwa waone mbaya wao ni huyo beberu, wasione mabaya yanayofanywa na mtawala wao hapo Ikulu.

Huyo Magufuli ni beberu mkubwa sana.

Ni beberu kwa sababu anaendekeza ubabe wa kufungia uhuru wa kisiasa, vyama vya siasa vinakosa uhuru wa kikatiba wa kufanya mikutano.

Ni beberu hata kuongea vizuri hajui, baba mzima mwanamme anatishia kupiga shangazi za watu, yani mwanamme mzima kakosa wanaume wenzake kupigana nao aende kupiga shangazi za watu?

Ni beberu anachota fedha bila bajeti, ananunua vitu bila tender.

Ni beberu ameingilia biashara ya korosho, mpaka mapato ya mazao ya kilimo yameshuka kwa asilimia 55 kwa mwaka mmoja tu unaoishia Agosti 2019. Ripoti ya Bank of Tanzania ya Oktoba 2019 imeonesha hilo. Hizi wala si habari za The Economist.

Sasa unapowasema mabeberu, mbona huyo beberu Magufuli unamsahau?
 
Back
Top Bottom