Kwanini Zitto anatukana Serikali nzima na anaachwa tu?

Kwanini Zitto anatukana Serikali nzima na anaachwa tu?

Ni kweli kabisa ZITTO KABWE yupo sahii.
Tumekabidhi nchi kwa washamba wa malimali huko. Na tulio wakabidhi wanatuita MALOFA, ukiwasujudia na kuwaabudu, utapata kula kodi zetu, teuzi na utaitwa MPUMBAVU.
 
unataka wampeleke msitu wa mabwepande? funguka tu wanakusikia.
 
SONGOKA,
Sasa wew unapendekeza afanyweje? Kwani kuna uongo hapo? Mbona yote asemayo ni kweli kabisa, na kama halikuhusu wewe kinakuuma kitu gani?
 
Anaongea ukweli nadhani ndomaana haitwi

Utawala wa awamu ya nne ni Adui wa upinzani hawataki kukosolewa ndiyo maana kutwa vikundi vya cyprian Musiba na le mutuz vipo mitandaoni kuwashutumu wapinzani wasema ukweli.
 
SONGOKA,
Akikejeri
uwoga
kibuli
wanadhalilishwa


Sishangai kwanini upo upande huo...(rejea tafiti ya TWAWEZA)
 
SONGOKA,
Naona wewe ni Rais wa Africa ni Amiri jeshi mkuu wa Africa nzima unatoa Amri kwa Amiri jeshi wa Tanzania aanze kumuonea Zito kabwe, kwa Amri zako za kidikteta unazani utapata nini endapo zito ataanza kunyanyaswa?
 
umeenda shule gani mkuu, katika groups za tabia kuna tabia ya ushamba na uzwazwa?? ndo ipi hiyo

Shule na udikiteta wako vina uhusiano gani? Mbona CCM mnawatumia darasa la saba akina Msukuma, kibajaji kuwatukana wapinzani Nchini kote.
 
Sasa wew unapendekeza afanyweje? Kwani kuna uongo hapo? Mbona yote asemayo ni kweli kabisa, na kama halikuhusu wewe kinakuuma kitu gani?

Utawala wa sasa ukiwakosoa unakuwa Adui wao hawajui kuwa kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa kila baya matukio makubwa madogo na udhaifu wote.
 
mkuu nna wasiwasi na uwezo wako wa kuchambua na kuainisha mambo,
lakinin pia sio kosa lako ni kosa la waliokuaminisha kuwa wewe mjuaji kiasi cha wewe pia kuamini kuwa unajua😀😀😀

CCM si ina wasomi wengi lakini Mbona inawatumia Msukuma na kibajaji kuwatukana wapinzani?
 
Kwani kuitwa mshamba ni tusi? au kuambiwa mazwazwa ni tusi? hebu leta tafsiri yako acha uzwazwa!

CCM ya sasa inashangaza sana eti inapewa Amri kuwanyanya wapinzani na watu baki kwa kweli CCM inasikitisha sana
 
Acha ushamba wa mitandao hoja yake imeonekana kuwa kuna mtu anajiita remote anaedit post zake haihitaji ujinga wako kujadili hili .

Nadhani wahusika wanalifanyia kazi acha porojo za kikuda

State agent
Wewe ni kajitu kwa ulalamishi na pointless mitandaoni hajielewi Le mutuz kakuvutisha Bangi hadi umekuwa zezeta unachofanya humu mitandaoni hukijui umebakia kujiandia andikia chochote unachoona Bangi zako zimekutuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushamba wa mitandao hoja yake imeonekana kuwa kuna mtu anajiita remote anaedit post zake haihitaji ujinga wako kujadili hili .

Nadhani wahusika wanalifanyia kazi acha porojo za kikuda

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujinga huu ndiyo unajiona mjanja wa mitandaoni? Nani kakuambia wewe ni mjanja? Acha kuwasililiza uliowanunulia chips wakakusifia uongo wewe una poroja za kizamani sana usawa huu hakuna mpenda haki atafagilia uonevu wenu wa kijinga jinga.
 
Back
Top Bottom