Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

Hizo pesa alizopiga kazipeleka wapi? Acheni propaganda za kipumbavu za wanasiasa wachumia tumbo.
Kwani hao unafikiri walikuwa mafisadi wao pesa walizipeleka wapi? Pesa hazikosi sehemu ya kupeleka ndugu. We unajua akina jokate mwegelo walikuwa wanahongwa nini ili kuuingiziwa dudu?
 
Ni kweli hakuna mahali CAG kasema zimefisadiwa ni kama zile trilion 1.5 CAG alizosema hazionekani ila akasema ni kazi bunge kuuliza huku mbona hazipo ?zimekwenda wapi? Chakushangaza mkamfukuza mkamtoa kinyemela kinyume na utaratibu na bunge likapiga kimya sasa mnamlaumu zitto kwa lipi?
 
Ushindwe nq kulegea kwa kutetea ufisadi.Hii nchi ilichezewa sana
 
Hao wahuni na mwenzao mwenye sura Kama Ana hv wanapoteza muda tu.Wananchi wanajua ukweli wote.
 
Wewe umekimbia lindo Chato umeamkia JF kuharisha.

Kwenye katiba mpya napendekeza mafisadi na majizi kama Magufuli hata wakifa ufisadi wao ukija kubainika maiti zao zifukuliwe na zinachalazwe mijeledi ili kukomesha hii tabia.

Jitu linajifanya mzalendo namba moja kumbe jizi tu.
 
Huamini kwamba JPM alikuwa fisadi namba moja kipindi cha udikteta uchwara wake???

Hutaki asemwe??!-----au nawewe ulikuwa na maslahi naye??!!
Mbona Nyerere hasemwi na ukimsema unaonekana kama unakufuru vile ina maana Nyerere hakuwa na makosa?

Lissu alijaribu kuondoa hiyo nidhamu ya uwoga na kumchambua Nyerere kuwa alikuwa muongo ila akaishia kushambuliwa kwamba hakupaswa kumsema Baba wa taifa.
 
Tulikubaliana hakuna msafi pale ccm ila ajabu inaonekana Tanzania tatizo letu lilikuwa Magufuli tu.
 
Wewe ni mbwa kweli, unazani Nyerere alijipachika Umungu mtu?

Nyerere ameandika hadi vitabu pale alipokosea na akaandika kitabu Tujisahihishe.

Siyo huyu Mrundi wenu aliyejipachika umalaika kwamba yeye ndio mjuwaji wa kila kitu.
 
Jikite kwenye hoja acha kujamba kisa tu huko nyuma pako wazi.
 
Lindeni legacy's ila hata kabla jiwe haja twaliwa aliyekuwa C.A.G Prof Assad alishamchana na zito akapigilia mlemle kuwa magufuli aache kupika data. Mbona mnamshupalia zitto na C.A.G kichere. Wewe ulitaka bunge lipi lijadili madudu ya jiwe..? Yaani wale wabunge wa jiwe aliowanunulia ushindi kwa dhulma eti wachambue mapungufu au ripoti ya C.A.G tena kiuweledi..? Acheni kutapatapa kila kukicha. Ukweli ni kwamba jiwe alikua raisi wa hovyoooooooo kupita hovyoooo yenyewe
 
Modus operandi ikoje ili tujue ubadhirifu umefanyika?
 
Mwizi huwa anapiga pesa kiwaziwazi??!!----- wewe sasa ndiye unathibitisha kuwa hakupiga pesa kiwaziwazi hivyo alikuwa fisadi,🤣
Wewe ni mjinga na unafikiri kwa kutumia makalio.
 
Tulikubaliana hakuna msafi pale ccm ila ajabu inaonekana Tanzania tatizo letu lilikuwa Magufuli tu.
Magufuli alijifanya yeye ni mtu safi na ni mzalendo kuliko watu wote wakati si kweli hata kidogo, wenzake wapo wazi na tumeshakubaliana kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake hatuna tatizo nao, kinachofanya Magufuli atachukiwa milele ni haya.

• Katili
•Muuwaji
•Fisadi
•Roho mbaya
 
Bila ushahidi kuthibitiha haya yote itabaki story tu.
 
JPM tangu akiwa hai alikuwa anaishi kwenye shimo la tope, Sasa mtu anayeishi kwenye shimo la tope anaweza kulalamika kuwa kachafuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…