Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Zamu ya kulinda kaburi la mungu wenu Chato leo ni zamu ya nani?Modus operandi ikoje ili tujue ubadhirifu umefanyika?
Siasa haihitaji ushahidi wa maabara wa kisayansi au ushahidi wa kijinai-beyond reasonable doubt, sisi huo ushahidi unatutosha kisiasa.Bila ushahidi kuthibitiha haya yote itabaki story tu.
Mbona Nyerere hasemwi au kwa sababu ni ndiyo kapewa utukufu?Kwani jpm Ni Nani? Kama aliharibu nchi asisemwe? Nyie sukuma gang mna matatzo
Mbona Mkapa hasemwi? Hamjiulizi kima nyinyi?Mbona Nyerere hasemwi au kwa sababu ni nduo kapewa utukufu?
Siku zote hakuna mahali wameweza kuuthibitishia umma kwa ushahidi mezani kuhusu tuhuma za ufisadi wa JPM.Hakuna mahala ulipothibitisha kuwa alipiga pesa waziwazi.
Kwani Dr Mihogo Slaa mmempa Kadi namba ngapi kwe chama chenu cha UMOJA PARTYKama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua hayati JPM?
Huyu ni mpiga madili kama ilivyo Nape Nnauye,January Makamba na kundi lao. Kuna uwezekano hawa ndio wanatumika kumchafua hayati JPM kwa manufaa yao tu sababu tu aliwakataa kwa maovu yao.
Mnakuza tu mambo, jinsi ambavyo unavyomzungumzia huyo mtu ingekuwa ngumu kuona watu wengi vile kwenye msiba wake. Hebu fikirie jinsi ambavyo wewe unavyomchukia Magufuli kwa kigezo kwamba alikuwa katili hivi wewe ungeweza kuacha mambo yako na kwenda kumzika mtu ambaye ni katili kwa kiwango ambacho wewe unachomchukulia?Mashetani tu na waliojaa roho za vampire ndo wanaweza kumtetea Magufuli, hakuna mwenye Roho ya ubinadamu anaweza mtetea yule mtu!!
Na wewe ni wapi ulithibitisha hao wakina Nape,January ni waovu wapigaji???Hakuna mahala ulipothibitisha kuwa alipiga pesa waziwazi.
Wasukuma bhana 🤣🤣🤣Mnakuza tu mambo, jinsi ambavyo unavyomzungumzia huyo mtu ingekuwa ngumu kuona watu wengi vile kwenye msiba wake. Hebu fikirie jinsi ambavyo wewe unavyomchukia Magufuli kwa kigezo kwamba alikuwa katili hivi wewe ungeweza kuacha mambo yako na kwenda kumzika mtu ambaye ni katili kwa kiwango ambacho wewe unachomchukulia?
Swali ni kwamba kwanini Nyerere hasemwi? Lissu alishambuliwa kwa kumsema Nyerere hivyo watu hawakutaka kusikia Nyerere akisemwa.Wewe ni mbwa kweli, unazani Nyerere alijipachika Umungu mtu?
Nyerere ameandika hadi vitabu pale alipokosea na akaandika kitabu Tujisahihishe.
Siyo huyu Mrundi wenu aliyejipachika umalaika kwamba yeye ndio mjuwaji wa kila kitu.
Labda tumekubali alikua fisadi no1 lakini pia maendeleo tumeyaona sio?Huamini kwamba JPM alikuwa fisadi namba moja kipindi cha udikteta uchwara wake???
Hutaki asemwe??!-----au nawewe ulikuwa na maslahi naye??!!
Huo ndio ukweli haya mnayoeleza humu mitandaoni na huko mitaani ni vitu viwili tofauti, binafsi niliamini kwamba kwa jinsi anavyochukiwa Magufuli basi ataagwa na watu wachache sana.Wasukuma bhana 🤣🤣🤣
Thibitisha...Magufuli alijifanya yeye ni mtu safi na ni mzalendo kuliko watu wote wakati si kweli hata kidogo, wenzake wapo wazi na tumeshakubaliana kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake hatuna tatizo nao, kinachofanya Magufuli atachukiwa milele ni haya.
• Katili
•Muuwaji
•Fisadi
•Roho mbaya
Watanzania msiwe wajinga.....wenzetu humu ndani wengi wao wanatupa tahadhali tujichunge na Zitto, huyu mtu ni sumu ya nchi kwani anatumiwa na CCM (sasa Mama Samia na Kikwete) ili kumchafua Magufuli. Tukumbuke, Kikwete alifanya ushenzi mwingi sana hapa nchini alipokuwa madarakani, mikataba feki, mikataba ya hasara, wizi serikalini, uozo makazini, vibaka kuwa ndiyo wenye nchi, na uuzaji unga ukiongozwa na mwanawe Ridhiwani. Magufuli alikuja na akatuambia hadharani kuwa hii nchi ilichezewa mno (akimlenga Kikwete na kundi lake la kijinga), kitu kilichowaudhi kina Kikwete na kibaraka wao Zitto. Zitto has always been under CCM payroll, yule wala si mpinzani bali ni political entrepreneur, akicheza na fursa za kuchafua maadui wa Kikwete pamoja na kuua upinzani.Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua hayati JPM?
Huyu ni mpiga madili kama ilivyo Nape Nnauye,January Makamba na kundi lao. Kuna uwezekano hawa ndio wanatumika kumchafua hayati JPM kwa manufaa yao tu sababu tu aliwakataa kwa maovu yao.
Mfumo wa Auditing anaotumia CAG unatoa mwanya kwa watu wenye nia Ovu kuhukumu wenzao pasipo haki.Kwa nini CAG anaandika report inayoifanya zitto amkosoe JPM?
Kwa nini serikali Inamuajiri CAG aandike report ya kumchafua JPM?
Kwa nini printers na makaratasi zinakubali kutumia kuandikiwa report ya kumchafua JPM
Jibu ni jepesi
'kwa sababu alikuwa mchafu'
Umeweka ukweli wazi kabisa.Watanzania msiwe wajinga.....wenzetu humu ndani wengi wao wanatupa tahadhali tujichunge na Zitto, huyu mtu ni sumu ya nchi kwani anatumiwa na CCM (sasa Mama Samia na Kikwete) ili kumchafua Magufuli. Tukumbuke, Kikwete alifanya ushenzi mwingi sana hapa nchini alipokuwa madarakani, mikataba feki, mikataba ya hasara, wizi serikalini, uozo makazini, vibaka kuwa ndiyo wenye nchi, na uuzaji unga ukiongozwa na mwanawe Ridhiwani. Magufuli alikuja na akatuambia hadharani kuwa hii nchi ilichezewa mno (akimlenga Kikwete na kundi lake la kijinga), kitu kilichowaudhi kina Kikwete na kibaraka wao Zitto. Zitto has always been under CCM payroll, yule wala si mpinzani bali ni political entrepreneur, akicheza na fursa za kuchafua maadui wa Kikwete pamoja na kuua upinzani.
Mmepewa reference nyingi sana za watawala madikteta namna mazishi yao yalivohudhuriwa na maelfu ya watu,a hana na huyo dikteta wa kisukuma ambae idadi ya waliohudhuria mazishi yake ni chache ukilinganisha na madikteta wenzie miaka ya kadhaa ya nyumaHuo ndio ukweli haya mnayoeleza humu mitandaoni na huko mitaani ni vitu viwili tofauti, binafsi niliamini kwamba kwa jinsi anavyochukiwa Magufuli basi ataagwa na watu wachache sana.
Mkapa kasemwa sana tu tokea alipokuwa hai na hata hivyo hakuna ambaye atakuona umetenda dhambi ukimsema Mkapa ila kwa Mtukufu Nyerere hali ni tofauti, ukimsema unaonekana unakufuru ndio maana Lissu alipata pingamizi alipojaribu kumuelezea Nyerere kama mtu ambaye aliishi kwa uongo uongo na alikuwa dikteta.Mbona Mkapa hasemwi? Hamjiulizi kima nyinyi?
We mjinga nini?Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua hayati JPM?
Huyu ni mpiga madili kama ilivyo Nape Nnauye,January Makamba na kundi lao. Kuna uwezekano hawa ndio wanatumika kumchafua hayati JPM kwa manufaa yao tu sababu tu aliwakataa kwa maovu yao.