Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo!
Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako wasifu wa mpenzi wako unaanza na urembo, tabia etc etc ila sasa sifa ya Kwanza ni kwao pesa zipo.
Sasa ambao pesa kwao hazipo mnawaachia nani mazee?
Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako wasifu wa mpenzi wako unaanza na urembo, tabia etc etc ila sasa sifa ya Kwanza ni kwao pesa zipo.
Sasa ambao pesa kwao hazipo mnawaachia nani mazee?