KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
hujui kitu nyamazaKwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.
Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
ni imani ya wakatoliki, we ni msabato? Kama ni msabato huna hoja ya kuhoji kwaresmaKwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.
Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
wewe utakuwa muumini wa bikira 72 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.
Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
Wana tunasindia ugali kama kawaida mkuu achana na hao waromaKwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.
Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.
Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
Cha NneMko chungu cha ngapi?
Huwaga nasikitika sana nikisia hizi habari za bikra 72😅😅wewe utakuwa muumini wa bikira 72 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Burj Khalifa
#KUMBE MABIKIRA 72 WALIO AHIDIWA WAISLAM, NI MASHETANI YA JEHANNAM
USHAHIDI HUU HAPA:
Imesimuliwa na Abu Umamah aliye msikia Nabii wa Allah akisema:
“Hakuna kati yenu ambaye ataingia Akhera bila ya Allah kumuozesha wake 72. Mabikira wawili kutoka urithi wako, na Sabini kutoka urithi wa Jehannam. Hao wote watakuwa matamanio yako na Allah atakupa uume usio nyong'onyea ”
Dini nzima ni mpango wa watu tu, na huyo Mungu wa kwenye Biblia na Quran hakuna mtu aliyethibitisha kwamba yupo.Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.
Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
Wewe WasemaBiblia imejaa stori za vijiweni tu na ufara ufara mwingi mnafunga au mnapunguza vitambi
Yesu au choko yesuWewe Wasema
Yesu Aliwajibu
Kwaresma ni sikukuu ya kipagani ikiambatana na sikukuu ya majivu
Kwaiyo unataka kusemaje kwakuwa papa alifungulia ushoga katoliki basi basi hata huko mbinguni ulifunguliwa?hujui kitu nyamaza
Mathayo 18:18 NENO
“Amin, nawaambia, lolote mtakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni, na lolote mtakalolifungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Nenda katika Parokia yoyote iliyo karibu na wewe,upate ufafanuzi zaidi. Kulielewa kanisa Katoliki siyo jambo la haraka haraka hivyo. Kaa kwa kutulia upewe ufafanuzi.Yale majivu huwa yanahusika na nini ?!!