Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

Wasabato wengi akili zao zipo kwenye makalio , sishangai kuona huyu anaandika hivi
 
Nenda katika Parokia yoyote iliyo karibu na wewe,upate ufafanuzi zaidi. Kulielewa kanisa Katoliki siyo jambo la haraka haraka hivyo. Kaa kwa kutulia upewe ufafanuzi.
Nikafundishwe kufanya hivi, hapana
downloadfile.png
 
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.

Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.

Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
Mkuu naona hil wazo umelipata baada ya kushba chakula cha mchana.

kwanin uinglie taratibu za wenzio ziczo kuhusu?
hujui kitu..
nikwel kwalesma haipo kweny bible..
na hawafung ili waende kweny mateso ya yesu bali ni kipindi tu cha mwaka kikanisa hawa wenzetu hufunga kama kukumbushia yesu alpofunga.
pia vikiambatana na toba, sala na kumlilia M-NGU juu ya haja binafs na wengne. pia inawakumbusha binadam si ni mavumbi tutarud vumbin, yatupasa kutenda mema.

nadhan umeelewa.
 
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.

Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.

Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
QUARESMA is the time from Ash Wednesday to Easter (40 weekdays) observed as a time of fasting in commemoration of Christ's fast in the wilderness. ni man made by Catholic Church, binadamu wame-commercialize kuwa ni tukio muhimu, it is not biblical
 
Huu ndio ukweli halisi
 
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.

Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.

Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
Sasa wewe si ufanye ya imani yako..!!!
Yaani, hapa duniani, ukiona mkristo anashambuliwa na muislamu, basi ujuwe huyo mkristo anayeshambuliwa ni mkatoliki, na ukiona mkristo anashambuliwa na mkristo, basi ujuwe huyo mkristo anayeshambuliwa ni mkatoliki. FANYENI YENU
 
QUARESMA is the time from Ash Wednesday to Easter (40 weekdays) observed as a time of fasting in commemoration of Christ's fast in the wilderness. ni man made by Catholic Church, binadamu wame-commercialize kuwa ni tukio muhimu, it is not biblica
 
Kufunga ni muhimu Sana , tunajiuliza kwanini Yesu alifunga ikiwa Hakuna umuhimu wa kufunga?

Hoja sio Tarehe ya kufunga bali ni muhimu kufunga na kuomba.

Wakatoliki wanapoelekea pasaka wameweka utaratibu kuwa wanapaswa kufunga kwapamoja kumlilia Mungu na kutubu dhambi zao na Kristo anapofufuka nao wafufuke kiroho wakiwa safi kabisa.

Sasa unaweza kuweka utaratibu hata binafsi wakufunga kila wiki siku kadhaa au kila mwezi au kila mwaka siku kadhaa ni utaratibu wako kwasababu biblia haisemi nilazima kufunga wakati gani ila imeeleza ni muhimu kufunga basi.

Sasa kanisa linaweza kutangaza kipindi cha mfungo kadiri ya mahitaji ya jamii husika kwasababu biblia inatujuza kuna mambo hayawezekani isipokua kwa kufunga na kusali.

Na watu walifunga hata kabla ya ujio wa Yesu mfano ni Yoahane mbatizaji katika agano jipya.

Tuweke utaratibu wa kufunga ni muhimu Sana kwa afya zetu na kiroho pia.

Anaepinga nilitaraji aseme biblia imesema tufunge wakati huu na wakatoliki wamefunga wakati mwingine usiohitaji kufunga kadiri ya mahitaji yao. Nijuavyo biblia imeacha wazi uamuzi wa kufunga tufunge lini sisi wakristo.
 
Sasa wewe si ufanye ya imani yako..!!!
Yaani, hapa duniani, ukiona mkristo anashambuliwa na muislamu, basi ujuwe huyo mkristo anayeshambuliwa ni mkatoliki, na ukiona mkristo anashambuliwa na mkristo, basi ujuwe huyo mkristo anayeshambuliwa ni mkatoliki. FANYENI YENU
Kwanini Wakatoliki pekee ndio washambuliwe?
 
We unaujua Ukristo kuliko wakatoliki,
Hata wao ndio walioamua maandiko yapi yawekwe kwenye Biblia kwa ajili ya watu wa level ya kwanza ya ufahamu.
Biblia vitabu vyote vingewekwa ingefikia uzito wa tani moja.
Maandiko mengine yamehifadhiwa Vatican kwa wisemen.
 
Kwanini Mungu aliumba mbu? Je Wana faida Gani?
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe chochote? Kwa nini aumne chochite kwenye ulimwengu unaoruhusu mabaya?

Mungu huyo anatakiwa awe amejitosheleza, asihitaji wala kutaka kufanya chochote.

Kwa nini aumbe chochote?

Alikuwa bored akatafuta hobby ya kufanya experiment ya uumbaji?

Hilo si tayari litakuwa limeonesha hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Mungu mwenye sifa hizo hawezi kuwa bored.
 
Back
Top Bottom