Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

QUARESMA is the time from Ash Wednesday to Easter (40 weekdays) observed as a time of fasting in commemoration of Christ's fast in the wilderness. ni man made by Catholic Church, binadamu wame-commercialize kuwa ni tukio muhimu, it is not biblical

Upeo finyu wa maandiko unawasumbueni sana.

Yesu alipokuwepo Dunia alitoa maelekezo ya jumla, ili kuyatekeleza, ni wanadamu, ukianzia na mitume, ndio waliofafanua namna ya kutekeleza maagizo ya Mungu.

Kwa dini na dhehebu lolote lile, taratibu nyingi zimetengenezwa na wanadamu. Kusema kitu kuwa siyo biblical, ni lazima kitu hicho kiwe kinyume na maagizo au maelekezo ya Mungu na mababa wa imani.

One of the most conservative church, ambalo halijaruhusu mabadiliko toka kipindi cha mitume na mababa wa imani waliofuatia baada ya mitume, ni Roman Catholic Church. Kila kitu wanachofanya kina msingi wa kiimani, hata kama hakitakuwemo kwenye biblia, kwani nje ya biblia kuna maandiko na kumbukumbu nyingi mbalimbali.
 
Kuna watu wanawashwa sana nyuma kwao.
Mtakunwa na nani mwezi wa Kwaresma na Ramadhani kwa mpigo??

Jambo lisilokuhusu unatuliza kijambio na maisha yanakwenda mbele mwendo wa ngiri..)()()()+@&
 
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.

Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.

Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
Huwezi kuelewa Kila kitu mengine yatakupita na kubaki mjinga. How can you exhaust God's plan in fullness while you are infinity being?
 
wewe utakuwa muumini wa bikira 72 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀

Burj Khalifa

#KUMBE MABIKIRA 72 WALIO AHIDIWA WAISLAM, NI MASHETANI YA JEHANNAM
USHAHIDI HUU HAPA:
Imesimuliwa na Abu Umamah aliye msikia Nabii wa Allah akisema:
“Hakuna kati yenu ambaye ataingia Akhera bila ya Allah kumuozesha wake 72. Mabikira wawili kutoka urithi wako, na Sabini kutoka urithi wa Jehannam. Hao wote watakuwa matamanio yako na Allah atakupa uume usio nyong'onyea ”
Dah imagine unampelekea moto shetani 😂
 
Sasa wewe si ufanye ya imani yako..!!!
Yaani, hapa duniani, ukiona mkristo anashambuliwa na muislamu, basi ujuwe huyo mkristo anayeshambuliwa ni mkatoliki, na ukiona mkristo anashambuliwa na mkristo, basi ujuwe huyo mkristo anayeshambuliwa ni mkatoliki. FANYENI YENU
..mijadala si shambulio, huwezi mmezesha mtu mauzauza, kama waumini tunavyomezeshwa kanisani, nina experience ya Catholic na Anglican. you are not allowed to think differently, uendeshaji wa kanisa ni totalitarian/autocracy, if you think differently, unakuwa excommunicated :CaptFailFish:
 
Yale majivu huwa yanahusika na nini ?!!
yanakukumbusha kwamba pamoja na wewe kua hai unatembea sharti ukumbuke kwamba ni wa udogo na mavumbi na huko mavumbini mwili wako utarudi na haujui siku wala saa hivyo jiimarishe kwenye kutenda mema
 
..mijadala si shambulio, huwezi mmezesha mtu mauzauza, kama waumini tunavyomezeshwa kanisani, nina experience ya Catholic na Anglican. you are not allowed to think differently, uendeshaji wa kanisa ni totalitarian/autocracy, if you think differently, unakuwa excommunicated :CaptFailFish:
who was then…..
hauzuiliwa kuhoji
hoji uelweshwe ila kinachopigwa ni kupinga dogma

kuna tofauti ya kuhoji na kupinga
 
Utitiri wa madhehebu ya kikiristo ni matokeo ya kuhoji politely, majibu yanapokosekana then unakuwa labeled as mpingaji, ndyo autocracy hiyo
 
..mijadala si shambulio, huwezi mmezesha mtu mauzauza, kama waumini tunavyomezeshwa kanisani, nina experience ya Catholic na Anglican. you are not allowed to think differently, uendeshaji wa kanisa ni totalitarian/autocracy, if you think differently, unakuwa excommunicated :CaptFailFish:
Uzuri wetu, ukitushambulia tunakusikiliza, ikifika dominika tunaenda kanisa, tukitoka tunaenda kula kitimoto na bia halafu tunarudi home. Hata hapa sasa maana ya maneno yako haya, naenda kunywa. Bye ndugu mtakatifu DR VRM
 
Back
Top Bottom