Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

QUARESMA is the time from Ash Wednesday to Easter (40 weekdays) observed as a time of fasting in commemoration of Christ's fast in the wilderness. ni man made by Catholic Church, binadamu wame-commercialize kuwa ni tukio muhimu, it is not biblical


Upeo finyu wa maandiko unawasumbueni sana.

Yesu alipokuwepo Dunia alitoa maelekezo ya jumla, ili kuyatekeleza, ni wanadamu, ukianzia na mitume, ndio waliofafanua namna ya kutekeleza maagizo ya Mungu.

Kwa dini na dhehebu lolote lile, taratibu nyingi zimetengenezwa na wanadamu. Kusema kitu kuwa siyo biblical, ni lazima kitu hicho kiwe kinyume na maagizo au maelekezo ya Mungu na mababa wa imani.

One of the most conservative church, ambalo halijaruhusu mabadiliko toka kipindi cha mitume na mababa wa imani waliofuatia baada ya mitume, ni Roman Catholic Church. Kila kitu wanachofanya kina msingi wa kiimani, hata kama hakitakuwemo kwenye biblia, kwani nje ya biblia kuna maandiko na kumbukumbu nyingi mbalimbali.
 
Kuna watu wanawashwa sana nyuma kwao.
Mtakunwa na nani mwezi wa Kwaresma na Ramadhani kwa mpigo??

Jambo lisilokuhusu unatuliza kijambio na maisha yanakwenda mbele mwendo wa ngiri..)()()()+@&
 
Huwezi kuelewa Kila kitu mengine yatakupita na kubaki mjinga. How can you exhaust God's plan in fullness while you are infinity being?
 
Dah imagine unampelekea moto shetani 😂
 
..mijadala si shambulio, huwezi mmezesha mtu mauzauza, kama waumini tunavyomezeshwa kanisani, nina experience ya Catholic na Anglican. you are not allowed to think differently, uendeshaji wa kanisa ni totalitarian/autocracy, if you think differently, unakuwa excommunicated
 
Yale majivu huwa yanahusika na nini ?!!
yanakukumbusha kwamba pamoja na wewe kua hai unatembea sharti ukumbuke kwamba ni wa udogo na mavumbi na huko mavumbini mwili wako utarudi na haujui siku wala saa hivyo jiimarishe kwenye kutenda mema
 
who was then…..
hauzuiliwa kuhoji
hoji uelweshwe ila kinachopigwa ni kupinga dogma

kuna tofauti ya kuhoji na kupinga
 
who was then…..
hauzuiliwa kuhoji
hoji uelweshwe ila kinachopigwa ni kupinga dogma

kuna tofauti ya kuhoji na kupinga

who was then…..
hauzuiliwa kuhoji
hoji uelweshwe ila kinachopigwa ni kupinga dogma

kuna tofauti ya kuhoji na kupinga
Utitiri wa madhehebu ya kikiristo ni matokeo ya kuhoji politely, majibu yanapokosekana then unakuwa labeled as mpingaji, ndyo autocracy hiyo
 
Uzuri wetu, ukitushambulia tunakusikiliza, ikifika dominika tunaenda kanisa, tukitoka tunaenda kula kitimoto na bia halafu tunarudi home. Hata hapa sasa maana ya maneno yako haya, naenda kunywa. Bye ndugu mtakatifu DR VRM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…