Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???
03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.
04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??
05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk
06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.
07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.
08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.
Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.