Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

Sikia brother, ACHA dharau sawa? Wewe huna elimu ya uwekezaji kunizidi Mimi?? Nina akili Pana Zaidi yako kufanya economic diversification.
mbona mimi sija kudharau chief?

Halafu Kama hizi hoja zako ndio diversification zenyewe za UCHUMI, basi uko vizuri
 
Hahah na wewe nae ndio umejikakamua kuandika point?? Aisee bado sana.
Kwaiyo unataka kuniambia gharama za kuoa mke upande wa chakula ni kubwa kuliko kula restaurant??? Tumia akili basi unajidharirisha
Unaonekana unautoto mwingi au umri pia unachangia anyway oa tuone utakavoweza fanya bajet ya kula wewe na mkeo
Ndoa sio makalio kwamba Kila mtu anayo kulea mke sio maneno unayosikia kijiwen Kwa umri wako jitafute acha mihemko
 
Umri sahihi kwa maamuzi sahihi lakini je kiakili uko tayari?
 
Diamond na rayvanny kuna wimbo waliimba utakufaa
"ale mwanza nyegezi, nyege nyege nyegezi" shusha mwanza nyegezi🥶

Ety "tukiishi wawili gharama za Kula kwa mama ntilie zitapungua" 😀Sawa sawa mkuu
 
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.

02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???

03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.

04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??

05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk

06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.

07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.

08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.

Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
msomi mzuri ww umepangilia sentesi vzr na tunaelewa sasa nenda veta umalizie usomi wako
 
Subiri ufike walau 28yrs, huo umri kwa zama hizi bado unahesabika mdogo kujipa majukumu ya familia.

Huduma ya ngono sio lazima, unaweza kuishi bila ngono.

Kupika unaweza hata ukiwa single, sio lazima upikiwe. Tena unapika mboga za kutosha ukirudi usiku ni kusonga tu ugali.

Hoja zako ni nzuri ila endelea kujipanga, bado una muda, usikimbilie ndoa, inaweza kukufanya uishi vizuri lakini pia inaweza kukufanya uharibikiwe, ndoa za siku hizi ni 50-50.
 
25 mimi ndo nilikuwa form three🤣napewa jero ya nauli, huyu 25 anawaza kuoa
 
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.

02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???

03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.

04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??

05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk

06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.

07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.

08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.

Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
Ndoa yenu ikawe na Amani Tele..
 
Sikia brother, ACHA dharau sawa? Wewe huna elimu ya uwekezaji kunizidi Mimi?? Nina akili Pana Zaidi yako kufanya economic diversification.

ACHA kabisa dharau ACHA na masifa Mimi Nina hisa ambazo wewe huna na hunijui..!
Ni kweli mkuu
Subiri ufike walau 28yrs, huo umri kwa zama hizi bado unahesabika mdogo kujipa majukumu ya familia.

Huduma ya ngono sio lazima, unaweza kuishi bila ngono.

Kupika unaweza hata ukiwa single, sio lazima upikiwe. Tena unapika mboga za kutosha ukirudi usiku ni kusonga tu ugali.

Hoja zako ni nzuri ila endelea kujipanga, bado una muda, usikimbilie ndoa, inaweza kukufanya uishi vizuri lakini pia inaweza kukufanya uharibikiwe, ndoa za siku hizi ni 50-50.
Bro hizo asilimia ume ona wapi?, siku hizi ndoa 80 lose, win 20🤣😂
 
KIJANA KWANI WEWE NI MWIZI? KWA NINI UMEANZA NA POINT YA DHAMANA?
Amejaza negativity kwenye ubongo wake na anadhani mke ndio atakuja kumuondoa huko, 25yrs atulie ajitengenezee mifereji ya pesa kwanza.
 
Naam ijumaa mapema sana tutamshauri kukataa ndoa 😁
Hahha sasa itabidi tuunde baraza la wazee ili mashauri yote yapite huko.

Ijumaa baraza litakaa kutoa ushauri. Kesi zitakazoshughulikiwa

1. kesi zote za kushindwa kumridhisha mwanamke
2. kesi za mesej ya michepuko
3. kesi za single maza & single dad
4. kesi za kunyimana unyumba
5. kuna hawa kataa ndoa inabidi watibiwe, tutaunda jopo la kushulika na akili zao
6. Kuna lile kundi la kikosi cha mizinga linafanya vijana wetu wapungukiwe nguvu
7.Mishangazi ipewe semina elekezi
 
KIJANA KWANI WEWE NI MWIZI? KWA NINI UMEANZA NA POINT YA DHAMANA?
Nadhani kijana huyu ana akili ya maisha. Anajua maisha ni kama shilingi, yana pande mbili raha na shida. Kwa kazi yake ya ubodaboda, wakati wowote anaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola. Ni watu wachache wanajiandaa kwa matatizo yajayo. Hongera sana kijana.
 
Back
Top Bottom