Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kama waona kuoa ni sahihi oa tu mkuu, ila kua makini wanawake siku hizi ni pasua kichwa ni nadra kupata yule ambae mna mawazo sawa.
Hayo yote solution yake ni kutafta pesa, bila pesa hata huyo mke utakaemuoa utauona moto wake.01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???
03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.
04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??
05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk
06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.
07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.
08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.
Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
Maneno Yako yamenipa nguvuNadhani kijana huyu ana akili ya maisha. Anajua maisha ni kama shilingi, yana pande mbili raha na shida. Kwa kazi yake ya ubodaboda, wakati wowote anaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola. Ni watu wachache wanajiandaa kwa matatizo yajayo. Hongera sana kijana.
Wewe ni mtu wa kwanza duniani kusikia unaoa ili utatue changamoto zako.
Sumu haionjwi kijana
Hahahaha 🤣 Sasa mbona hata baba Yako alitaka kutatua changamoto ya kingono?? Mpaka ukaja wewe duniani? Au hujui kama mwanamke ni solution kwa mambo mengi?? Au akili Yako inawaza kulelewa?Wewe ni mtu wa kwanza duniani kusikia unaoa ili utatue changamoto zako.
Sumu haionjwi kijana.
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???
03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.
04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??
05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk
06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.
07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.
08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.
Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
😂Haya inamisha kichwa nikuombee ndoa yako ikawe ya kheri na baraka tele..
Hahaha lazima uwe na msimamo na mawazo Yako na uyaeshimu piamtoa mada ukienda tofauti na mawazo yake anakuwashia moto ila ukienda sawa na mawazo yake anafurahi, sielewi ni ameomba ushauri humu au