Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

Una safiri kilometer kadhaa kutoka kwenu kuja mjini, una pambana angalau una pata bodaboda.

next mission yako ni chupi, una sahau Kuna madogo ume waacha kwenu?.wanao hitaji uwa pige tafu nao watoboe.

Wazazi wako wanao waza wame pata jembe la kuwavuta, kumbe na yeye ana ogopa kulala mwenyewe 🙄
Jamaa ni mwanaume rijali, anataka kuoa awe na mke.
WEwe unasema anawaza chupi?
 
Nilipata ajali ya gari, eneo panaitwa maporomoko karibu na igawa mkoa wa mbeya.

Kutoka mbeya mjini mpaka hospitali kule ubaruku ni kilomita kama 170.

Wa kwanza kumpa taarifa alikuwa wife halafu kakafatia kamchepuko.

Ila mchepuko ulifika usiku huo huo na kulala wote wodini ila kamke kalinisubiri kesho kuja kuniona hospitali ya Rufaa mbeya, wakati napelekwa kwa emergency na lile gari lao.

Oa kwa sababu umempenda na hayo mengine hayana uhakika
Hapo ungemfukuza mke uoe huyo mchepuko
 
Hahaha unanijua?? Au kwasababu nimekuambia ni bodaboda?
Ungekuwa una akili za kujenga uchumi kwanza ungekuwa umeoa..em toka
Mkuu kuoa sio kwamba ndio kuna kufanya uwe genius, elewa hilo.

kuhusu kujua namna ya kujenga uchumi, nime anza kitambo kabla ya kuwa lectured kwa mafunzo ya vitendo nikiwa 18.

Ila kila la kheri, maana zetu Dua.
 
Sikia brother, ACHA dharau sawa? Wewe huna elimu ya uwekezaji kunizidi Mimi?? Nina akili Pana Zaidi yako kufanya economic diversification.

ACHA kabisa dharau ACHA na masifa Mimi Nina hisa ambazo wewe huna na hunijui..!

Nina malengo makubwa ya miaka Zaidi ya kumi huko!!!

Sasa mwanamke wangu atazuia vipi money flow??

Mwanamke ni msaidizi mzuri tu financial tatizo mdate na Malaya
 
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.

02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???

03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.

04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??

05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk

06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.

07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.

08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.

Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
Mtego huu.....
 
Back
Top Bottom