Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

Jamaa ni mwanaume rijali, anataka kuoa awe na mke.
WEwe unasema anawaza chupi?
 
Hapo ungemfukuza mke uoe huyo mchepuko
 
Em nisaidie mkuu mana naona nimekutana na vijana wa hovyo wanataka kunirudisha nyuma
KAma unaoana umepata mwanamke ambae anaweza kuwa mke wako.
Na mazingira yanaruhusu.
oa.
 
Hahaha unanijua?? Au kwasababu nimekuambia ni bodaboda?
Ungekuwa una akili za kujenga uchumi kwanza ungekuwa umeoa..em toka
Mkuu kuoa sio kwamba ndio kuna kufanya uwe genius, elewa hilo.

kuhusu kujua namna ya kujenga uchumi, nime anza kitambo kabla ya kuwa lectured kwa mafunzo ya vitendo nikiwa 18.

Ila kila la kheri, maana zetu Dua.
 
Sikia brother, ACHA dharau sawa? Wewe huna elimu ya uwekezaji kunizidi Mimi?? Nina akili Pana Zaidi yako kufanya economic diversification.

ACHA kabisa dharau ACHA na masifa Mimi Nina hisa ambazo wewe huna na hunijui..!

Nina malengo makubwa ya miaka Zaidi ya kumi huko!!!

Sasa mwanamke wangu atazuia vipi money flow??

Mwanamke ni msaidizi mzuri tu financial tatizo mdate na Malaya
 
Mtego huu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…