Kuna boda alioa na alipata ajali na mkewe hakuenda kumuona bali aliuza kila kitu na kukimbia. Kuwa makini01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???
03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.
04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??
05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk
06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.
07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.
08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.
Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
Kuna boda alioa na alipata ajali na mkewe hakuenda kumuona bali aliuza kila kitu na kukimbia. Kuwa makin
Tatizo alioa Malaya hakuoa mkeKuna boda alioa na alipata ajali na mkewe hakuenda kumuona bali aliuza kila kitu na kukimbia. Kuwa makini
SawaTatizo alioa Malaya hakuoa mke
Bora useme wewe, niki sema mimi nita onekana hater.Mtego huu.....
ata kwambia ni wivu😂😂Kuna boda alioa na alipata ajali na mkewe hakuenda kumuona bali aliuza kila kitu na kukimbia. Kuwa makini
Kwa vigezo hv ndoa ishafeli ndani ya muda mfupi.01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???
03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.
04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??
05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk
06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.
07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.
08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.
Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
Toa vigezo vyakoKwa vigezo hv ndoa ishafeli ndani ya muda mfupi.
nyinyi ndio mna ishia kuleta watoto duniani, Wana ishia kula msoto wasio jua Ume tokea wapi.Urijali ni kitu muhimu sana.
Pamoja na mambo mengine.
ata sema una muonea wivu😂😂Kwa vigezo hv ndoa ishafeli ndani ya muda mfupi.
Namjulisha tu mjini kuna mambo 😅😅😅ata kwambia ni wivu😂😂
Aisee we brother nilikuwa Nina kuona una akili kubwa kumbe tope tupu hahaha emu soma tena ulichoandika!nyinyi ndio mna ishia kuleta watoto duniani, Wana ishia kula msoto wasio jua Ume tokea wapi.
Mimi sija wahi kuwa na akili ndugu yangu, na sidhani ka matope yana kaa kwenye kichwa Cha kiumbe hai.Aisee we brother nilikuwa Nina kuona una akili kubwa kumbe tope tupu hahaha emu soma tena ulichoandika!
afadhali dada zake mme kuja kumu elimisha, maana ange sema upande wa kiumeni tuna mkazia.Akili na mawazo ya kijiwen unapopack[emoji849] 25?? Kuoa kisa unataka kupunguza gharama za mama ntilie[emoji3][emoji3] aliyekuambia utapunguzanani??? Unatoka kujilisha mwenyewe unaenda kulisha wewe na mwingine Sasa hapo umepunguza nin?
Hahah na wewe nae ndio umejikakamua kuandika point?? Aisee bado sana.Akili na mawazo ya kijiwen unapopack[emoji849] 25?? Kuoa kisa unataka kupunguza gharama za mama ntilie[emoji3][emoji3] aliyekuambia utapunguzanani??? Unatoka kujilisha mwenyewe unaenda kulisha wewe na mwingine Sasa hapo umepunguza nin?
Issue ni upate mtu sahihi.Sikia brother, ACHA dharau sawa? Wewe huna elimu ya uwekezaji kunizidi Mimi?? Nina akili Pana Zaidi yako kufanya economic diversification.
ACHA kabisa dharau ACHA na masifa Mimi Nina hisa ambazo wewe huna na hunijui..!
Nina malengo makubwa ya miaka Zaidi ya kumi huko!!!
Sasa mwanamke wangu atazuia vipi money flow??
Mwanamke ni msaidizi mzuri tu financial tatizo mdate na Malaya