Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
mbona mimi sija kudharau chief?Sikia brother, ACHA dharau sawa? Wewe huna elimu ya uwekezaji kunizidi Mimi?? Nina akili Pana Zaidi yako kufanya economic diversification.
ata elewa akiwa mahututiWe oa tu.
Kuoa ni uhuru wako wa kikatiba kabisa.
Maji yakizidi unga huko, mje tena hapa JF kuleta malalamiko yenu kuhusu wake zenu.
Mimi sio nayetaka kuoa.Toa vigezo vyako
Unaonekana unautoto mwingi au umri pia unachangia anyway oa tuone utakavoweza fanya bajet ya kula wewe na mkeoHahah na wewe nae ndio umejikakamua kuandika point?? Aisee bado sana.
Kwaiyo unataka kuniambia gharama za kuoa mke upande wa chakula ni kubwa kuliko kula restaurant??? Tumia akili basi unajidharirisha
Naam ijumaa mapema sana tutamshauri kukataa ndoa πOa tu ndugu yangu wanawake wengi sana kuliko wanaume, chunga tu asiwe single maza, Ushauri tunatoa siku ya Ijumaa tu
kwako Evelyn Salt
msomi mzuri ww umepangilia sentesi vzr na tunaelewa sasa nenda veta umalizie usomi wako01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???
03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.
04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??
05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk
06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.
07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.
08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.
Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
muandiko wake ni mbaya na bado ni mshauri wa maswala ya ndoa.Aisee we brother nilikuwa Nina kuona una akili kubwa kumbe tope tupu hahaha emu soma tena ulichoandika!
25 mimi ndo nilikuwa form threeπ€£napewa jero ya nauli, huyu 25 anawaza kuoaSubiri ufike walau 28yrs, huo umri kwa zama hizi bado unahesabika mdogo kujipa majukumu ya familia.
Huduma ya ngono sio lazima, unaweza kuishi bila ngono.
Kupika unaweza hata ukiwa single, sio lazima upikiwe. Tena unapika mboga za kutosha ukirudi usiku ni kusonga tu ugali.
Hoja zako ni nzuri ila endelea kujipanga, bado una muda, usikimbilie ndoa, inaweza kukufanya uishi vizuri lakini pia inaweza kukufanya uharibikiwe, ndoa za siku hizi ni 50-50.
Za kuambiwa changanya na zako kaka, usiwe mbishi aseemuandiko wake ni mbaya na bado ni mshauri wa maswala ya ndoa.
Ndoa yenu ikawe na Amani Tele..01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa taarifa kwa ndugu jamaa na marafiki???
03.Ikitokea nimelala ndani mwezi sijiwezi ni nani ambe atanisafisha na kutunza Siri zangu?? Majirani?? Ni mke wangu.
04. Umri unaenda maisha siyapati huenda Mungu atanipa kwa wakati wake, kwanini Sasa nisioe niepukane na uzinzi??
05.Nataka kuoa kwasababu huduma ya sex kwa mtu Ambae sio mke wako ni gharama kubwa mixer vibomu nk
06.Gharama ya chakula ni kubwa sana kama huna mke, wanaume tunatumia hela kubwa kula hasa wale single compared to ambao wameoa.
07.Nimempata mwanamke Ambae familia yao haiwezi kuwa tegemezi kwangu financially wanajiweza hivyo nitafocus na mke wangu na mambo kadhaa.
08. Siogopi kupata mtoto ila nitatumia njia za mpango ili niweze kupata mtoto hata baada ya miaka 3 maana kwa Sasa Nina 25.
Wakuu kwa sababu hizi Naona ni wakati wangu Sasa kuoa.
Ni kweli mkuuSikia brother, ACHA dharau sawa? Wewe huna elimu ya uwekezaji kunizidi Mimi?? Nina akili Pana Zaidi yako kufanya economic diversification.
ACHA kabisa dharau ACHA na masifa Mimi Nina hisa ambazo wewe huna na hunijui..!
Bro hizo asilimia ume ona wapi?, siku hizi ndoa 80 lose, win 20π€£πSubiri ufike walau 28yrs, huo umri kwa zama hizi bado unahesabika mdogo kujipa majukumu ya familia.
Huduma ya ngono sio lazima, unaweza kuishi bila ngono.
Kupika unaweza hata ukiwa single, sio lazima upikiwe. Tena unapika mboga za kutosha ukirudi usiku ni kusonga tu ugali.
Hoja zako ni nzuri ila endelea kujipanga, bado una muda, usikimbilie ndoa, inaweza kukufanya uishi vizuri lakini pia inaweza kukufanya uharibikiwe, ndoa za siku hizi ni 50-50.
Amejaza negativity kwenye ubongo wake na anadhani mke ndio atakuja kumuondoa huko, 25yrs atulie ajitengenezee mifereji ya pesa kwanza.KIJANA KWANI WEWE NI MWIZI? KWA NINI UMEANZA NA POINT YA DHAMANA?
Hahha sasa itabidi tuunde baraza la wazee ili mashauri yote yapite huko.Naam ijumaa mapema sana tutamshauri kukataa ndoa π
Nadhani kijana huyu ana akili ya maisha. Anajua maisha ni kama shilingi, yana pande mbili raha na shida. Kwa kazi yake ya ubodaboda, wakati wowote anaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola. Ni watu wachache wanajiandaa kwa matatizo yajayo. Hongera sana kijana.KIJANA KWANI WEWE NI MWIZI? KWA NINI UMEANZA NA POINT YA DHAMANA?
Kila mtu na perception yake, sio kweli kwamba 80% ndoa zipo kwenye losing end, ni maoni tofauti tu. Ila zinazotangazwa kuwa na hali mbaya zinafanya hata zile zinazofanya vizuri ziknekane hazipo.Ni kweli mkuu
Bro hizo asilimia ume ona wapi?, siku hizi ndoa 80 lose, win 20π€£π