Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

Kama waona kuoa ni sahihi oa tu mkuu, ila kua makini wanawake siku hizi ni pasua kichwa ni nadra kupata yule ambae mna mawazo sawa.
 
Hayo yote solution yake ni kutafta pesa, bila pesa hata huyo mke utakaemuoa utauona moto wake.
 
Maneno Yako yamenipa nguvu
 
Wewe ni mtu wa kwanza duniani kusikia unaoa ili utatue changamoto zako.
Sumu haionjwi kijana.
 
Wewe ni mtu wa kwanza duniani kusikia unaoa ili utatue changamoto zako.
Sumu haionjwi kijana

Wewe ni mtu wa kwanza duniani kusikia unaoa ili utatue changamoto zako.
Sumu haionjwi kijana.
Hahahaha 🤣 Sasa mbona hata baba Yako alitaka kutatua changamoto ya kingono?? Mpaka ukaja wewe duniani? Au hujui kama mwanamke ni solution kwa mambo mengi?? Au akili Yako inawaza kulelewa?
 

Namba 7 pekee ndo Sababu yenye mashiko, nyingine zote hazina maana, mke anaweza Kuwa liability
 
mtoa mada ukienda tofauti na mawazo yake anakuwashia moto ila ukienda sawa na mawazo yake anafurahi, sielewi ni ameomba ushauri humu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…