Kweka arudishwa rumande, kesi kutajwa Oktoba 29

Kweka arudishwa rumande, kesi kutajwa Oktoba 29

Huyu nahisi ataoews kesi ya kuwa bia kukusudia atafungwa miaka chini ya 5.
Nani kasema?
Njoo tubet, huyo anakula kifungo cha maisha au kunyongwa..!!

Ushahidi upo wa kutosha mshtakiwa alikua anamtishia kumuua marehemu zaidi ya mara 3.

Hapo unasemaje hakukusudia?

Unajua maana ya kutokukusudia?

Ikiwa umevamiwa na mtu akataka kukuua ukajihami kwa kumsukuma au kumpiga na kitu kikapelekea kuua, hiyo ni kuua bila kukusudia..!!

Au mlikua mnacheza au kukimbizana, kwa bahati mbaya ukamsukuma akafa hapo umeua bila kukusudia..!!

Sasa huyo alishatoa onyo na bado hiyo siku alivyosikia mkewe yupo nyumbani akafunga safari ili akatimize azma yake. Anakosekana vipi na kuua kwa kukusudia?
Kwanini hakuua watoto mpaka yule yule ambaye aliahidi kumuua??
 
Hakuna cha wakili mzuri, huyu kaua na kujisalimisha, afya ya akili inatokea wapi!?,angeua akakutwa jalalani anakula uchafu wa jalalani na kuokota makopo waweza kusema afya ya akili. Hizo kesi kwa bongo hawanaga haraka nazo, hukumu wanayo tayari ila kama ana ela kwenye akaunti au ndugu zake wana ela itacheleweshwa cheleweshwa wawachukulie ela, mwishowe atahukumiwa miaka mingi au maisha jela. Akibahatika atatoka huko mbeleni kwa msamaha wa kiongozi atakayekuwepo. Akija kutoka atakuta magari yote yanatumia umeme na mtoto wake wa miaka minne ameshaolewa. Sio kesi nyepesi, alifanya upumbavu sana.
Unamkumbuka DITOPILE MZUZURI...!??
 
Nani kasema?
Njoo tubet, huyo anakula kifungo cha maisha au kunyongwa..!!

Ushahidi upo wa kutosha mshtakiwa alikua anamtishia kumuua marehemu zaidi ya mara 3.

Hapo unasemaje hakukusudia?

Unajua maana ya kutokukusudia?

Ikiwa umevamiwa na mtu akataka kukuua ukajihami kwa kumsukuma au kumpiga na kitu kikapelekea kuua, hiyo ni kuua bila kukusudia..!!

Au mlikua mnacheza au kukimbizana, kwa bahati mbaya ukamsukuma akafa hapo umeua bila kukusudia..!!

Sasa huyo alishatoa onyo na bado hiyo siku alivyosikia mkewe yupo nyumbani akafunga safari ili akatimize azam yake. Anakosekana vipi na kuua kwa kukusudia?
Kwanini hakuua watoto mpaka yule yule ambaye aliahidi kumuua??
Ushawahi kuwa na kesi mahakamani..!??

Ushawahi kufuatilia kesi yoyote mahakamani mpaka hukumu...!??

Una uelewa kidogo na mambo ya kisheria....!??

Unakumbuka kesi ya DITOPILE MZUZURI...!??
 
Naona watu wengi humu wanajadili jambo kwa mihemko na jazba lakini hawajadili uhalisia na weledi.....

Labda tu niwaambie ya kwamba jambo likishafika mahakamani basi kule zinajadiliwa hoja na sio mihemko......na ndani ya mahakama hoja au jambo dogo tu linaweza kubadilisha mwenendo mzima wa kesi.......
 
Nani kasema?
Njoo tubet, huyo anakula kifungo cha maisha au kunyongwa..!!

Ushahidi upo wa kutosha mshtakiwa alikua anamtishia kumuua marehemu zaidi ya mara 3.

Hapo unasemaje hakukusudia?

Unajua maana ya kutokukusudia?

Ikiwa umevamiwa na mtu akataka kukuua ukajihami kwa kumsukuma au kumpiga na kitu kikapelekea kuua, hiyo ni kuua bila kukusudia..!!

Au mlikua mnacheza au kukimbizana, kwa bahati mbaya ukamsukuma akafa hapo umeua bila kukusudia..!!

Sasa huyo alishatoa onyo na bado hiyo siku alivyosikia mkewe yupo nyumbani akafunga safari ili akatimize azam yake. Anakosekana vipi na kuua kwa kukusudia?
Kwanini hakuua watoto mpaka yule yule ambaye aliahidi kumuua??
Hilo la kumtishia mkewe kifo linapaswa kuwa kesi inayojitegemea na lina adhabu inayojitegemea. Kuua bila kukusudia inawezekana pia. Mfano, kama wakati wa tukio kulikua na heated argument au physical altercation kati yake na mkewe huku akiwa kashika silaha akaifyatua bahati mbaya. Pia kama uchunguzi utathibitisha kwamba ana kichaa, anachomoka. Kwa kifupi kuna avenues nyingi za kisheria kabisaa za kuchomka. Ushahidi pia unaweza kumchomoa kama uchunguzi usipofanywa kwa weledi. Yaani hata kama alimuua Jane, ushahidi kama ni dhaifu au haupo anachomoka.
 
Nani kasema?
Njoo tubet, huyo anakula kifungo cha maisha au kunyongwa..!!

Ushahidi upo wa kutosha mshtakiwa alikua anamtishia kumuua marehemu zaidi ya mara 3.

Hapo unasemaje hakukusudia?

Unajua maana ya kutokukusudia?

Ikiwa umevamiwa na mtu akataka kukuua ukajihami kwa kumsukuma au kumpiga na kitu kikapelekea kuua, hiyo ni kuua bila kukusudia..!!

Au mlikua mnacheza au kukimbizana, kwa bahati mbaya ukamsukuma akafa hapo umeua bila kukusudia..!!

Sasa huyo alishatoa onyo na bado hiyo siku alivyosikia mkewe yupo nyumbani akafunga safari ili akatimize azam yake. Anakosekana vipi na kuua kwa kukusudia?
Kwanini hakuua watoto mpaka yule yule ambaye aliahidi kumuua??
Muuwaji aliuwa akiwa hayupo sawa kichwani 😄
Ile habari ya kuugua saratani ikiwa kweli na kitendo cha marehemu kuhusu mali vinaweza kumsababishia matatizo ya akili msongo wa mawazo.
Atachomokea hapo.
 
Inasikitisha sana, pole yao sana wafiwa...


Cc: Mahondaw
Life changes in a second , jamaa Kesha toka kwenye mstari …, now yupo kwa complicated life and he does not know what else to do ,

I have always been advising parents kufundisha watoto cerveau muscle exercises including video games to build up their mental strength,

imagine an old man 👴 of 48 years couldn’t figure it out,

It is such a shame a 48 years old kushindwa ku handle ishu km ile in a responsible way

That also translates generations ya Tanzania ipo na shida kwa malezi ya akili

Imagine mtu kama Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau, je a boy like that atashindwaje kuua kwenye stressed situation, ?

vijana wengi TZ wanatakiwa kupitia mental training … tuna mataahira mengi sana yanatembea mtaani huko TZ na wanaonekana fine like old wine , wengine wapo kwa ndoa , makanisani , misikitini, maofisin nk

Shame
 
Back
Top Bottom