Kweka arudishwa rumande, kesi kutajwa Oktoba 29

Kweka arudishwa rumande, kesi kutajwa Oktoba 29

Hilo la kumtishia mkewe kifo linapaswa kuwa kesi inayojitegemea na lina adhabu inayojitegemea. Kuua bila kukusudia inawezekana pia. Mfano, kama wakati wa tukio kulikua na heated argument au physical altercation kati yake na mkewe huku akiwa kashika silaha akaifyatua bahati mbaya. Pia kama uchunguzi utathibitisha kwamba ana kichaa, anachomoka. Kwa kifupi kuna avenues nyingi za kisheria kabisaa za kuchomka. Ushahidi pia unaweza kumchomoa kama uchunguzi usipofanywa kwa weledi. Yaani hata kama alimuua Jane, ushahidi kama ni dhaifu au haupo anachomoka.
Hapo ushahidi dhaifu na kumwaga pesa ndicho kitakachompa adhabu ndogo lakini kutoka kabisa hiyo haipo..!!
 
Umetoka Moshi au popote with a loaded gun halafu useme hukukusudia kuua?
Atakutwa ana matatizo ya akili.
Soma 👇
Muuwaji aliuwa akiwa hayupo sawa kichwani 😄
Ile habari ya kuugua saratani ikiwa kweli na kitendo cha marehemu kuhusu mali vinaweza kumsababishia matatizo ya akili msongo wa mawazo.
Atachomokea hapo.
 
Muuwaji aliuwa akiwa hayupo sawa kichwani 😄
Ile habari ya kuugua saratani ikiwa kweli na kitendo cha marehemu kuhusu mali vinaweza kumsababishia matatizo ya akili msongo wa mawazo.
Atachomokea hapo.
Kama hakua sawa mbona hiyo bastola hakuielekeza kwake?

Huyo kesi anayo, unataka kusema wagonjwa wote wa saratani wanaua wenzi wao?

Je, hilo tatizo lake la ugonjwa alilipata kipindi gani? Kabla ya kesi ya mali au baada?

Kwanini aliposikia mzazi mwenzie yupo nyumbani na watoto wao yeye akarudi haraka? Tutaamini vipi kama haukua mtego wa yeye kufanikisha lengo lake la mauaji na ikiwa hajakusudia?
 
Hapo ushahidi dhaifu na kumwaga pesa ndicho kitakachompa adhabu ndogo lakini kutoka kabisa hiyo haipo..!!
Pesa, hata connections za kikabila, kisiasa, kidini, zinaweza kukutoa pia kwenye kesi kama hizi. Kumuweka ndani muda mrefu mtuhumiwa inaweza kuwa ni mbinu mojawapo ya kusubiri kelele zipungue na wahanga wasahau kidogo. Ushahidi unaweza kuharibiwa au kufichwa day 1 kwa makusudi kabisaa. Police wanaweza kufanya hivyo bila kutumwa na mtu kwa lengo la kuja kutumia ushahidi walionao kumchomoa pesa mtuhumiwa au ndugu zake. Mahakama inaweza kumukuhumu mtuhumiwa kufungwa hata maisha huku ikiwa imepanga kumuachia kwa rufaa baada ya muda mfupi. Yanafanyika sana haya kila uchao.
 
uendeshaji wa kesi za mauaji tz ni wa kipuuzi sana, usishangae mwamba akasota rumande mwaka ndo akasomewa PI, na mwaka tena ndo ikaanza kusikilizwa.
Hivi huwa hakuna namna ya ku force shauri lisikilizwe haraka?

Mahakama haina uwezo wa kusikiliza shauri lake sasa kwanini apelekwe, kaenda kufanya nini hasa? Kupotezewa muda?

NB; Sijui chochote kuhusu sheria
 
Hivi huwa hakuna namna ya ku force shauri lisikilizwe haraka?

Mahakama haina uwezo wa kusikiliza shauri lake sasa kwanini apelekwe, kaenda kufanya nini hasa? Kupotezewa muda?

NB; Sijui chochote kuhusu sheria
hamna namna ya kufosi mkuu, labda rais au team fulani ya kimahakama atembelee/itembelee gereza ulilohifadhiwa utoe malalamiko kuwa umekaa sana rumande kdogo inaweza saidia, kesi za mauaji zinasikilizwa mahakama kuu au et mahakama ya hakimu mkazi ila kwa kibali kutoka mahakama kuu, mahakama ya mkoa au mahakama ya hakimu mkazi kama kisutu vile unaenda tu kusomewa shtaka na kupelekwa rumande huku upande wa jamuhuri ukisema upelelezi bado haujakamilika.
 
now yupo kwa complicated life and he does not know what else to do ,
Inasikitisha sana... Ila kwa hapa Tanzania, atachomoka tu...
video games to build up their mental strength,
Video games ni hatari sana kwa mental health ya binadamu, tena hatari haswa...
That also translates generations ya Tanzania ipo na shida kwa malezi ya akili
Nchi zilizoendelea au ulaya wao ndiyo wamezidi kua na shida ya afya ya akili na mambo yao mengi ni ya ajabu kuliko hata sisi huku Tanzania...
Imagine Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau
Hayanaga miongozo... Mambo yake muachie mwenyewe...
 
Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amerejeshwa rumande baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Urassa.

Kweka amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Oktoba 15, 2026, na kusomewa shtaka moja la mauaji katika kesi namba 23407 ya mwaka 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kemilembe Josiah.

Soma Pia:
Baada ya kusomewa shtaka hilo, mshtakiwa ameondolewa mahakamani hapo na kurejeshwa rumande, huku kesi hiyo ikiahirishwa hadi Oktoba 29, 2026, kwa ajili ya kutajwa
HUyu sio mfanya biashara ni mwehu
 
Back
Top Bottom