Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Kwahiyo maneno ya house girl yamekubalika moja kwa moja mahakani?Shida alikusudia kumuua. Ndio maana alidai kamaliza kazi. Ina maana alikusudia
Kwahiyo maneno ya house girl yamekubalika moja kwa moja mahakani?Shida alikusudia kumuua. Ndio maana alidai kamaliza kazi. Ina maana alikusudia
Teh 😃 😃 😃Imagine mtu kama @Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau, je a boy like that atashindwaje kuua kwenye stressed situation, ?
Kila binadamu ana kiwango Fulani cha ukichaa.vijana wengi TZ wanatakiwa kupitia mental training … tuna mataahira mengi sana yanatembea mtaani huko TZ na wanaonekana fine like old wine , wengine wapo kwa ndoa , makanisani , misikitini, maofisin nk
Mdau nazani hana uwelewa wa a,b,c kwenye hilo ni bora ukampuuzaSheria ina mambo mengi mkuu
Mkuu, jamaa umemkimbiza mazimaImagine mtu kama @Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau, je a boy like that atashindwaje kuua kwenye stressed situation, ?