Hapo ushahidi dhaifu na kumwaga pesa ndicho kitakachompa adhabu ndogo lakini kutoka kabisa hiyo haipo..!!Hilo la kumtishia mkewe kifo linapaswa kuwa kesi inayojitegemea na lina adhabu inayojitegemea. Kuua bila kukusudia inawezekana pia. Mfano, kama wakati wa tukio kulikua na heated argument au physical altercation kati yake na mkewe huku akiwa kashika silaha akaifyatua bahati mbaya. Pia kama uchunguzi utathibitisha kwamba ana kichaa, anachomoka. Kwa kifupi kuna avenues nyingi za kisheria kabisaa za kuchomka. Ushahidi pia unaweza kumchomoa kama uchunguzi usipofanywa kwa weledi. Yaani hata kama alimuua Jane, ushahidi kama ni dhaifu au haupo anachomoka.
Atakutwa ana matatizo ya akili.Umetoka Moshi au popote with a loaded gun halafu useme hukukusudia kuua?
Muuwaji aliuwa akiwa hayupo sawa kichwani 😄
Ile habari ya kuugua saratani ikiwa kweli na kitendo cha marehemu kuhusu mali vinaweza kumsababishia matatizo ya akili msongo wa mawazo.
Atachomokea hapo.
Sio kirahisi hivyo. Wengi mnapenda jamaa aachiwe lakini sio rahisi hivyo.Atakutwa ana matatizo ya akili.
Soma 👇
Yule mwehu hawezi kuachiwa atafungwa tu.Sio kirahisi hivyo. Wengi mnapenda jamaa aachiwe lakini sio rahisi hivyo.
Kama hakua sawa mbona hiyo bastola hakuielekeza kwake?Muuwaji aliuwa akiwa hayupo sawa kichwani 😄
Ile habari ya kuugua saratani ikiwa kweli na kitendo cha marehemu kuhusu mali vinaweza kumsababishia matatizo ya akili msongo wa mawazo.
Atachomokea hapo.
Tuache utani jamaa lofa kweli kweli.Sasa huyo alishatoa onyo na bado hiyo siku alivyosikia mkewe yupo nyumbani akafunga safari ili akatimize azam yake. Anakosekana vipi na kuua kwa kukusudia?
Pesa, hata connections za kikabila, kisiasa, kidini, zinaweza kukutoa pia kwenye kesi kama hizi. Kumuweka ndani muda mrefu mtuhumiwa inaweza kuwa ni mbinu mojawapo ya kusubiri kelele zipungue na wahanga wasahau kidogo. Ushahidi unaweza kuharibiwa au kufichwa day 1 kwa makusudi kabisaa. Police wanaweza kufanya hivyo bila kutumwa na mtu kwa lengo la kuja kutumia ushahidi walionao kumchomoa pesa mtuhumiwa au ndugu zake. Mahakama inaweza kumukuhumu mtuhumiwa kufungwa hata maisha huku ikiwa imepanga kumuachia kwa rufaa baada ya muda mfupi. Yanafanyika sana haya kila uchao.Hapo ushahidi dhaifu na kumwaga pesa ndicho kitakachompa adhabu ndogo lakini kutoka kabisa hiyo haipo..!!
Ni wa kulala au wa kusimama?Nimeuona kupitia mwandiko wako
Hivi huwa hakuna namna ya ku force shauri lisikilizwe haraka?uendeshaji wa kesi za mauaji tz ni wa kipuuzi sana, usishangae mwamba akasota rumande mwaka ndo akasomewa PI, na mwaka tena ndo ikaanza kusikilizwa.
hamna namna ya kufosi mkuu, labda rais au team fulani ya kimahakama atembelee/itembelee gereza ulilohifadhiwa utoe malalamiko kuwa umekaa sana rumande kdogo inaweza saidia, kesi za mauaji zinasikilizwa mahakama kuu au et mahakama ya hakimu mkazi ila kwa kibali kutoka mahakama kuu, mahakama ya mkoa au mahakama ya hakimu mkazi kama kisutu vile unaenda tu kusomewa shtaka na kupelekwa rumande huku upande wa jamuhuri ukisema upelelezi bado haujakamilika.Hivi huwa hakuna namna ya ku force shauri lisikilizwe haraka?
Mahakama haina uwezo wa kusikiliza shauri lake sasa kwanini apelekwe, kaenda kufanya nini hasa? Kupotezewa muda?
NB; Sijui chochote kuhusu sheria
Inasikitisha sana... Ila kwa hapa Tanzania, atachomoka tu...now yupo kwa complicated life and he does not know what else to do ,
Video games ni hatari sana kwa mental health ya binadamu, tena hatari haswa...video games to build up their mental strength,
Nchi zilizoendelea au ulaya wao ndiyo wamezidi kua na shida ya afya ya akili na mambo yao mengi ni ya ajabu kuliko hata sisi huku Tanzania...That also translates generations ya Tanzania ipo na shida kwa malezi ya akili
Hayanaga miongozo... Mambo yake muachie mwenyewe...Imagine Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau
Wakamfanyie visit tu hukoSio kirahisi hivyo. Wengi mnapenda jamaa aachiwe lakini sio rahisi hivyo.
HUyu sio mfanya biashara ni mwehuMfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amerejeshwa rumande baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Urassa.
Kweka amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Oktoba 15, 2026, na kusomewa shtaka moja la mauaji katika kesi namba 23407 ya mwaka 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kemilembe Josiah.
Soma Pia:
Baada ya kusomewa shtaka hilo, mshtakiwa ameondolewa mahakamani hapo na kurejeshwa rumande, huku kesi hiyo ikiahirishwa hadi Oktoba 29, 2026, kwa ajili ya kutajwa
mahitaji yote atapata huko huko ni yy tu na hela yake, hata nanilio maana nasikia et ni versatileWakamfanyie visit tu huko
Kumpelekea mahitaji nk
Ova
Nakubaliana na wewe bila hata kutumia nguvu nyingi kesi inadodonkea manslaughter!Kweka akipata wakili mzuri, hawezi fungwa zaid ya miaka 15
Shida alikusudia kumuua. Ndio maana alidai kamaliza kazi. Ina maana alikusudiaKweka akipata wakili mzuri, hawezi fungwa zaid ya miaka 15
Duh! Ni shoga kumbe. Ndio maana ana kansa ya utumbo. Duh!mahitaji yote atapata huko huko ni yy tu na hela yake, hata nanilio maana nasikia et ni versatile