Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,477 Reaction score 5,283 Oct 16, 2026 #81 econonist said: Shida alikusudia kumuua. Ndio maana alidai kamaliza kazi. Ina maana alikusudia Click to expand... Kwahiyo maneno ya house girl yamekubalika moja kwa moja mahakani?
econonist said: Shida alikusudia kumuua. Ndio maana alidai kamaliza kazi. Ina maana alikusudia Click to expand... Kwahiyo maneno ya house girl yamekubalika moja kwa moja mahakani?
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Oct 16, 2026 #82 Megalodon said: Imagine mtu kama @Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau, je a boy like that atashindwaje kuua kwenye stressed situation, ? Click to expand... Teh π π π
Megalodon said: Imagine mtu kama @Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau, je a boy like that atashindwaje kuua kwenye stressed situation, ? Click to expand... Teh π π π
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Oct 16, 2026 #83 Megalodon said: vijana wengi TZ wanatakiwa kupitia mental training β¦ tuna mataahira mengi sana yanatembea mtaani huko TZ na wanaonekana fine like old wine , wengine wapo kwa ndoa , makanisani , misikitini, maofisin nk Click to expand... Kila binadamu ana kiwango Fulani cha ukichaa. Usibishe...
Megalodon said: vijana wengi TZ wanatakiwa kupitia mental training β¦ tuna mataahira mengi sana yanatembea mtaani huko TZ na wanaonekana fine like old wine , wengine wapo kwa ndoa , makanisani , misikitini, maofisin nk Click to expand... Kila binadamu ana kiwango Fulani cha ukichaa. Usibishe...
S sisimizi bichwa Member Joined Sep 12, 2026 Posts 65 Reaction score 82 Oct 16, 2026 #84 granitized said: Sheria ina mambo mengi mkuu Click to expand... Mdau nazani hana uwelewa wa a,b,c kwenye hilo ni bora ukampuuza
granitized said: Sheria ina mambo mengi mkuu Click to expand... Mdau nazani hana uwelewa wa a,b,c kwenye hilo ni bora ukampuuza
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 11,208 Reaction score 20,517 Oct 24, 2026 #85 Megalodon said: Imagine mtu kama @Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau, je a boy like that atashindwaje kuua kwenye stressed situation, ? Click to expand... Mkuu, jamaa umemkimbiza mazima
Megalodon said: Imagine mtu kama @Kiranga alishawahi kumpiga mwanamke kisa anahisi alimdharau, je a boy like that atashindwaje kuua kwenye stressed situation, ? Click to expand... Mkuu, jamaa umemkimbiza mazima