Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,208
- 2,767
Si lazima kuchangia kila mada hapa jukwaani, ni busara pia kusoma na kujifunza, maelezo yako mengi hapa hayana logic kwasababu tu unachokiandika hukijui na hukielewi kwakuwa una-copy na ku-paste comments za watu wengine kutoka hapa:Is Atheism mindless? - Page 8 na kujifanya ni za kwako na kujiita great thinker. So sio wote hapa ndani wapuuzi na wajinga kama wewe, changia kwa kwa uelewa wako na si KU-COPY na KU-PASTE.
[/URL][/IMG]![]()
wakati wengine tunaumiza kichwa ili tumjibu bwana Kiranga kumbe wengine wana copy na kupaste tu, bila hata kutoa source.
Last edited by a moderator: