Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

Kwa uwezo wa akili ya Darasani hata exposure huwezi mfikia CHALAMILA. Elimu yake ni Kubwa na amekuzidi uelewa sana tu.

Utani na utashi wa Mtu, kwahiyo ulitaka aletwe mwehu kutoka TARIME ili uone kuwa anaweza kuimudu kazi?
......kuna namna wana jf tunajikuga wajuvi na wakamilifu sana, kwamba tuna uelewa mpana wa mambo kuliko watu wengine, tukubali tu uhuru wa nchi za afrika umetuwezesha wazawa kujitawala na kuinjoi keki ya taifa ila toka uhuru ni viongozi wachache sana walioacha legacies especially kwa hivi vyeo ambavyo mostly ni ceremonial tu kama u-RC na u-DC........
 
Dar Kuna maajabu gani? Chalamila aliwahi kushindwa wapi? Muwe mnapunguza ujinga
 
Hata Joti anaweza kuwa Mkuu wa mkoa kwenye nchi ilijojaa mapoyoyo
 
Basically kazi za wakuu wa mikoa hazipo ila wana majukumu undefined.
 
Karibu jiji lenye watu wabishi

Ova
 
Kama mtu kama nape anakuwa waziri kwanini Jembe Chalamila ashindwe kuwa mkuu wa mkoa?? Chalamila yuko vizuri kichwani clip zake za kuchekesha za dakika chache zisikupumbaze ukamchukulia poa poa
 
Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa serious na kuja kuwa na wakuu wa Mikoa kama Makonda, Makala na Chalamila nikudharau wananchi wa jiji la DSM.
Ni yupi aliwahi kuwa mkuu wa mkoa serious..au Makamba Yusuf?
 
Acha ujinga na ubwege unamzidi nini Chalamila wewe? Acheni dharau za kipumbavu una nini wewe mfuka moshi bwege tu wewe.
 
Ni majukumu gani hayo mazito yaliyopo dar,?kulinganisha na lile ambalo mtu anatoka kwenye uana mitindo/msanii anaenda kuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa mkoa/wilaya!!yaani RSO ,DSO,na wabobezi wote wa mambo ya kiusalama wanakuwa chini yake?
 
Siasa za CCM ni kama comedy. Mwacheni aje kufanya comedy zake jijini Dar....jiji la maraha na karaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…