Sam Wellson
Member
- Jun 1, 2022
- 65
- 212
Sitaki tena Kumuanda mwanangu kuwa Mwajiriwa Wa Serikali hii nataka Nianze kumpa mentality za Kujitegemea tangu akiwa Mchanga nimpe Elimu safi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USIPOAJIRI KWA MIAKA MITANO MFULULIZO UNACHOTENGENEZA NI BLAST NDICHO KILICHOPOJPM alivuruga mifumo ya ajira,aliua sekta binafsi, na akazuia serikali isiajiri.
Bado Kuna funza zinamsifu
Mashamba yapo , je mtayaendeleza?Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.
Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Unapoiba benki unaiba pesa za watu walizojiwekea akiba sio pesa za serikali zileImenikumbusha Brazil(forteleza)bank robbery.
Nipale vijana wasomi walipo iba fedha nyingi kutoka bank,walitumia elimu walio ipata hawakusubiri ajira.
Hamna mali ya kupewa. Mali ni aliyeitafuta. Mtoto apewe guidance na apambane mwenyewe.Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.
Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Vijana wote wanawza mapenzi?Watoto wa kuwapa mali ndio hawa wanashinda wakiwaza mapenzi.?
Apambane mikono mitupu?Hamna mali ya kupewa. Mali ni aliyeitafuta. Mtoto apewe guidance na apambane mwenyewe.
Wakuu waone shida ya ajira ilivyo.Tena hao wengi ni vijana na usikute wengi wao wanaufaulu mzuri na wanauwezo.Kwa hali hii mtu anastaafu kesho anateuliwa pengine vijana tunatunza vyeti ndani inaumiza.Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+
Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...
Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.
Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Wewe ni kinembe kweli , Filthy dogJPM alivuruga mifumo ya ajira,aliua sekta binafsi, na akazuia serikali isiajiri.
Bado Kuna funza zinamsifu
KURITHI HUWA NI KAMA BAHATI YA WATU WACHACHE TU, TUFIKIRI KWA MAPANA ZAIDI, TULIOWENGI HAKUNA VYA KURITHI, WALIOBAHATIKA KUPATA URITHI TUSIWAONEE WIVU, KWANI NDIO MPANGO WA MUNGU NA NEEMA ZAKE.Jambo la kwanza ni mfumo wa elimu ufumuliwe wote mtoto asome mpk la saba baada ya hapo 4m 1 mpk 4 iwe ni vyou vya fani tu alafu wale wataka faulu vizuri wakasome 5&6 hapa ndo tunatakiwa kupika cream.
Ila hao wazazi wa kurithisha watt mali ndo waha wanauza mashamba mpk na makaburi ya babu zetu au?!
Na hao watt unaotaka wsrithishwe mali Ni hawa wanawaza ngono( kucha wanaomba connection) au kuna wengine tutegemee?
Ukipata chance ya kukutana na mmiliki wa bus za machame inv muulize haso alizopitia mpk kufika hapo
Naona serikali ya kipumbafu, unaitaje watu 1000 kwenye interview kupata 2? Hawa mataahira ndo maana walisafiri mtoto mahututi kwa gari toka kigoma eti wanampeleka Dar.Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+
Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...
Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.
Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Hapana.Hakuna mtu aliyezaliwa na mali.Labda tuiweke sawa,ni kukuta famili au wazazi wana mali halafu urithi.Baba yako alizaliwa na Mali?
Kitaa hapakalaiki aisee, hali ni mbaya zaidi ya tunavyofikiriaAlaf ni ajira ya muda tu asee hali ni mbaya
Kumpa mali bila kumfundisha namna ya kuitafuta na kuitumia kwa nidhamu, utakuwa unatwanga maji kwenye Kinu.Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.
Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Huyo mzee bora aliwahishwa kulala aiseeJPM alivuruga mifumo ya ajira,aliua sekta binafsi, na akazuia serikali isiajiri.
Bado Kuna funza zinamsifu
Hela zote za benk zina bima.Unapoiba benki unaiba pesa za watu walizojiwekea akiba sio pesa za serikali zile