Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

Jambo la kwanza ni mfumo wa elimu ufumuliwe wote mtoto asome mpk la saba baada ya hapo 4m 1 mpk 4 iwe ni vyou vya fani tu alafu wale wataka faulu vizuri wakasome 5&6 hapa ndo tunatakiwa kupika cream.
Ila hao wazazi wa kurithisha watt mali ndo waha wanauza mashamba mpk na makaburi ya babu zetu au?!
Na hao watt unaotaka wsrithishwe mali Ni hawa wanawaza ngono( kucha wanaomba connection) au kuna wengine tutegemee?
Ukipata chance ya kukutana na mmiliki wa bus za machame inv muulize haso alizopitia mpk kufika hapo
 
Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.

Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Hamna mali ya kupewa. Mali ni aliyeitafuta. Mtoto apewe guidance na apambane mwenyewe.
 
Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+

Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...

Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.

Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Wakuu waone shida ya ajira ilivyo.Tena hao wengi ni vijana na usikute wengi wao wanaufaulu mzuri na wanauwezo.Kwa hali hii mtu anastaafu kesho anateuliwa pengine vijana tunatunza vyeti ndani inaumiza.
 
JPM alivuruga mifumo ya ajira,aliua sekta binafsi, na akazuia serikali isiajiri.
Bado Kuna funza zinamsifu
Wewe ni kinembe kweli , Filthy dog
Screenshot_20220710-073417.jpg
Screenshot_20220710-073357.jpg
Screenshot_20220710-073327.jpg
Screenshot_20220710-073107.jpg
Screenshot_20220710-073001.jpg
Screenshot_20220710-072930.jpg
Screenshot_20220710-072714.jpg
Screenshot_20220710-072656.jpg
 
Jambo la kwanza ni mfumo wa elimu ufumuliwe wote mtoto asome mpk la saba baada ya hapo 4m 1 mpk 4 iwe ni vyou vya fani tu alafu wale wataka faulu vizuri wakasome 5&6 hapa ndo tunatakiwa kupika cream.
Ila hao wazazi wa kurithisha watt mali ndo waha wanauza mashamba mpk na makaburi ya babu zetu au?!
Na hao watt unaotaka wsrithishwe mali Ni hawa wanawaza ngono( kucha wanaomba connection) au kuna wengine tutegemee?
Ukipata chance ya kukutana na mmiliki wa bus za machame inv muulize haso alizopitia mpk kufika hapo
KURITHI HUWA NI KAMA BAHATI YA WATU WACHACHE TU, TUFIKIRI KWA MAPANA ZAIDI, TULIOWENGI HAKUNA VYA KURITHI, WALIOBAHATIKA KUPATA URITHI TUSIWAONEE WIVU, KWANI NDIO MPANGO WA MUNGU NA NEEMA ZAKE.
 
Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+

Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...

Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.

Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Naona serikali ya kipumbafu, unaitaje watu 1000 kwenye interview kupata 2? Hawa mataahira ndo maana walisafiri mtoto mahututi kwa gari toka kigoma eti wanampeleka Dar.
 
Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.

Elimu sio urithi. Mtoto mpe mali afanye maisha yake
Kumpa mali bila kumfundisha namna ya kuitafuta na kuitumia kwa nidhamu, utakuwa unatwanga maji kwenye Kinu.

Tunapopambana kutafuta mali tusisahau kuwafundisha watoto wetu namna ya kuitafuta na kuitumia vizuri.
 
Back
Top Bottom