Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

Jamani umeshafoli in love,, we mtoto wewe, unataka unipe gono la genz
Haha! We mi sio gen z nipo katikali ya millenial na gen z!, hapa hakuna gono afya ipo swafii kabisa..πŸ₯°
 
Yule ni mlemavu, ndo maana hapati damu ya hedhi, kupata haja zote ni kwa taabu mpaka kwa vifaa maalumu kwahiyo ni wazi hawezi kulika kama kina sie wenye moja moja
Alisema mimba zake zinaharibika
 
Mwanamke kufika kileleni kunamtegemea yeye zaidi kuliko wewe mwanaume, ni suala linaloanzia kwenye psychology yake kabla ya kufika mwilini

Kama hakufeel utakesha hapo ila km anakufeel hata dakika 10 nyingi...tena katika maandalizi tu
 
Duh!
 
kajielimishe kuhusu squirters na creamers kwanza ndo uje uandike uzi.
 
Wewe unawaza kuwafikisha kileleni hao viumbe ili iweje? Wewe piga zako viwili au kimoja kama umetosheka vaa nenda, yaani kumhonga umhonge na kileleni umfikishe? Utakufa ukiwa bado unajitengeneza.
Suala la mwanamke kufika kileleni tunavyosakamwa wanaume utafikiri ni hasara yetu. Mimi nishamaliza haja zangu, mwanamke hajafika, sasa ni shida ya nani hiyo. Wanawake wafanyie kazi tatizo lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…