Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

Jana BBC swahili walipost habari kuna mwanadada ana sehemu mbili za uke

Ilinifikirisha sana pia ana mifuko miwili ya uzazi .. inasikitisha

Hauwezi kusema M/Mungu kampendelea au kampa mtihani kwa hali yake hiyo; anaenda kufanyiwa upasuaji ili abaki na sehemu moja na mfuko mmoja wa uzazi.. Namuombea upasuaji uende salama ningekuwa karibu ningempelekea maua kwa kumfariji kabla ya upasuaji

Sipati picha ukishiriki naye tendo mwanadada kama huyoo daaah
Yule ni mlemavu, ndo maana hapati damu ya hedhi, kupata haja zote ni kwa taabu mpaka kwa vifaa maalumu kwahiyo ni wazi hawezi kulika kama kina sie wenye moja moja
 
C48F7424-03E9-489E-B52A-370EDDFA4E33.jpeg

Mambo ni mengi!
 
Seran wa mioto unashangaa nini sasa na nimesema ukweli. Saa nne mapenz wapi na wapi. Afu wana jf mnao dm mimi sisomi messages kama unajambo la kuniambia au kuniuliza lifanye hapa jukwaan kama ni kuelimisha litasaidia wengi lakin dm ni kujisumbua bure ya sisomi sa ntakujibuje
 
Nimeshangaa hapo aache wanawake waoge kwamba hawajaoga? Hao wanao kudm hauwajibu wanakuomba nini? Ulianzisha uzi wa kuomba laki mbili huenda ndio wanakuchek jamaa acha kiburi lol 🤣
 
Hakuna raha kama kumuweka mwanamke anaye-squirt, anayefika mshindo/kilele, anayemwaga mma, hakuna kabisa, haifananishwi na kitu.

Changamoto ni pale hujui kafika, hajafika, hakojoi, hamwagi mma...yaani ananogewa lakini hafanyi none of the above😅😅
 
Back
Top Bottom