Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

Yule ni mlemavu, ndo maana hapati damu ya hedhi, kupata haja zote ni kwa taabu mpaka kwa vifaa maalumu kwahiyo ni wazi hawezi kulika kama kina sie wenye moja moja
 
Seran wa mioto unashangaa nini sasa na nimesema ukweli. Saa nne mapenz wapi na wapi. Afu wana jf mnao dm mimi sisomi messages kama unajambo la kuniambia au kuniuliza lifanye hapa jukwaan kama ni kuelimisha litasaidia wengi lakin dm ni kujisumbua bure ya sisomi sa ntakujibuje
 
Nimeshangaa hapo aache wanawake waoge kwamba hawajaoga? Hao wanao kudm hauwajibu wanakuomba nini? Ulianzisha uzi wa kuomba laki mbili huenda ndio wanakuchek jamaa acha kiburi lol 🤣
 
Hakuna raha kama kumuweka mwanamke anaye-squirt, anayefika mshindo/kilele, anayemwaga mma, hakuna kabisa, haifananishwi na kitu.

Changamoto ni pale hujui kafika, hajafika, hakojoi, hamwagi mma...yaani ananogewa lakini hafanyi none of the above😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…