StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kisaikolojia watu wenye hulka kama ya Lissu huwa wanapigania haki zao hadi tone la mwisho,mi nadhani wala asijisumbue kumshauri.Amuache tu afuate utashi wake.Muhimu kwa sasa ni kujiandaa kukabiliana na yajayo.Mshauri Lissu aache
Ukubwa dawa wakati mwingine!Mkuu naona tunauelewa na mtazamo tofauti kuhusu kilichotokea uchaguzi huu, endeleza ligi na hao wenzako. Halafu mimi ni kada mkongwe wa CCM, usifikiri kila anayeona uchaguzi haukuwa sawa ni mpinzani. Fungua ubongo wako ufikiri nje ya box ulilofungiwa
Nadhani siwezi jenga hoja na wewe, ukikua utaelewa vizuri
Hizo nchi ndo haziwezi kuwekewa vikwazo?.Zimbabwe hawajui kwamba kuna China,India n.k?Yaani wazungu watuwekee vikwazo mwaka 2020 duu, kweli alili ni mali, kwamba wao peke yao ndo wanaendesha dunia au? Tena wakijadai kuweka vikwazo tunaenda na nchi za Asia, CHINA, INDIA, n.k
Kayafa ataendeshaje behewa bila manemane na uvumba kutoka kwa mamajusi? Ataindoka kwa aibu Kama Roma Mkatoliki wa HarareMnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?
Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..
Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..
Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.
Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.
Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.
Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.
Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.
Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.
Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.
SEMA mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie. Lol
Mshauri Lissu aache
Hahahahaa.Nacheka kama mazuri vile.Umeandika kwa hisia nzito sana.Linda kura hutaki!
Toka uandamane udai haki yako hutaki!
Wananchi ni jeshi la mwisho katika kufanya mabadiliko yoyote yale ndio maana wanaotakiwa kubanwa ni sisi ili tupige kelele za vitendo.
Ngoja yeboyebo zikosekane sokoni kwanza ndio mjue ichi ipo uchumi wa katikati ya mapaja au wapi
hiyo Zimbabwe ni ya miaka ya 1980 sio saivi 2020.Hizo nchi ndo haziwezi kuwekewa vikwazo?.Zimbabwe hawajui kwamba kuna China,India n.k?
Basi tuendelee kugonga glasihiyo Zimbabwe ni ya miaka ya 1980 sio saivi 2020.
CCM wenyewe wameshindwa kushangilia kabisa maana hii dhambi inamtesa kila mtuMkuu naona tunauelewa na mtazamo tofauti kuhusu kilichotokea uchaguzi huu, endeleza ligi na hao wenzako. Halafu mimi ni kada mkongwe wa CCM, usifikiri kila anayeona uchaguzi haukuwa sawa ni mpinzani. Fungua ubongo wako ufikiri nje ya box ulilofungiwa
Bora hii itokeeBaada ya kuwekewa vikwazi vingi ndio hapo mtaanza kuandamana na kumtaka atoke, nyie peke yenu bila kushurutishwa......
Kisha mtaangwa mkono na UN na watu wengi watauwawa lakini mwisho wa siku atatoka tu..
Yaani huo ndo ukweli saivi dunia ni global village ndugu yangu, na global market ni too competitive. Global financial flow haitegemei tena ulaya wala U. S. Flow of capital and technology inaweza kutoka ASIA pia. Ni hayo tu.Basi tuendelee kugonga glasi
Nini maana ya mnyonge huwa nashindwa kupata tafasiriMnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran.
Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe?
Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni million 32 Kwa mwezi na hiyo kabla ya marupurupu.. mshahara WA mbunge Ni million 8 kabla ya marupurupu..
Lisu anadai alishinda na kaibiwa Kura ok let say Kweli ndiyo kaibiwa na Sisi tunaamini hivyo. Mimi na wewe hatukatai kuwa uchaguzi ulikuwa Ni uchafuzi TU.
Mwaka 2015 uchaguzi haukuwa huru na haki; ndiyo hili tunakubali. Mwaka huu haukuwa uchaguzi Bali uchafuzi TU..
Wasiwasi Wangu je hizi hatua za kutusema duniani ambazo Lisu atazianza soon zitakuwa na faida Gani Kwa Sisi wanyonge.? Unadhan vikwazo ailivyopigwa Zimbabwe je zilimuathiri Mugabe na watoto wake au Morgan tshangarai..au watu wanyonge km mm na wewe.
Aisee asikudanganye mtu hakuna USA , sijui UN au Europe watakaokuja kumtoa kwa nguvu magufuli.. wazungu watakachofanya ni kutupiga vikwazo (sanctions) vya kufa MTU.
Twende kwenye vikwazo unadhan nani ataarithika..Lisu atakuwa zake Brussels- Belgium akila mvinyo au akigonga Budweiser.
Magu atakuwa ikulu akila samaki WA kuchoma na bia pendwa ya Kilimanjaro na akisisitiza tumuombee..na wakina gwajima watakuwa busy kutuaminisha tumuombee wakina Diamond wakirunga nyimbo za kumsifu.
Mimi na wewe wanyonge Sisi tutakuwa tunalala njaa.. sanctions hatutoruhusiwa tena kununua au kuuza vitu nje ya Nchi.
Lisu Pole sana brother..lakini hatua unazochokua zitatuumiza Mimi na wanyonge, wewe na magu hamtoathirika.
Uzuri Ni kuwa CCM na chadema wote tutaisoma namba TU Kwa sanctions.. Vikwazo visikie Kwa jirani.
SEMA mjomba Magu punguza basi Mzee..
kuzima mitandao..ubabe siyo mpango., unatumia rungu kuua sisimizi...Sisi wanyoyonge mtuhurimie. Lol
Hili neno "watanzania siyo wajinga" imekuwa kama korasi, halikosekani kwenye kila mstari wa maandiko yenu.Hahaha kaiba kura wapi...kwa hiyo kaiba na mawakala wenu wameshirikiana...leteni mahesabu ya mawakala wenu tuone..msidhani watanzania wajinga...mnaweweseka tu shwainnn..
Haya Kama wewe na mmeo na wanao mtaenda chamwino nendeni...tu..hapo ndipo mtawajua watanzania..wakati huo serikali itakuwa imekaa pembeni inaangalia
Inamaana hamjaona matamko ya US,UE na nchi mbalimbali mpaka Japan?Usiweweseke jomba..usidhani wazungu hawana akili au wajinga kiasi hicho...kwanza wamsikilize na kumuamini lisssu kama Nani..Lissu hana ushahidi wa lolote ni Mambo ya hisia tu...Sasa Nani anayeweza fanyia kazi hisia...
Waangalizi wa ndani, wa kimataifa woote wale hawana akili, ripoti zao zoote in maana Ni utumbo tu..acheni kuweweseka..Lissu Hana lolote...