Kweli maisha ya sasa, ndoa inatafutwa kwa lazima

Hao wanailazimisha ndoa familia zao zitazamwe mara mbili.
Utokee kwenye proper family yenye malezi ya baba na mama na wanakipato from no where ukimbilie mume!! Hell no!
What I know ukiwa na vigezo+ bahati waoaji wapo
Umeweka neno 'bahati'; kufikisha miaka 40 bila mme, huo tayari ni msongo wa mawazo
 
I hate the word ' kubembeleza ndoa' wakati mwingine ni mapenzi tu hupelekea mwanamke kufanya hivyo but sadly lawama zinageukia kwa mwanamke kwamba ame force
Amewahi kuja kukaba nafasi, asije akaachwa
 
Hao wanailazimisha ndoa familia zao zitazamwe mara mbili.
Utokee kwenye proper family yenye malezi ya baba na mama na wanakipato from no where ukimbilie mume!! Hell no!
What I know ukiwa na vigezo+ bahati waoaji wapo

Wanawake wanaolewa kila wiki

Kumbi za harusi zipo busy kila jumamosi mnasemaje waoaji hakuna

Mwanamke anaelalamika hakuna waoaji ni yule ambae kuna vigezo anavimiss ila anataka wanaume wenye hivyo vigezo.

1.Huwezi kutoka familia isiyoeleweka halafu utake kuolewa na mwanaume anayetoka familia inayoeleweka.

2.Huwezi kuwa jobless halafu utake kuolewa na mtu mwenye kazi nzuri

Hapo lazima useme waoaji hakuna
 
Ni kweli aisee kuna binti alikuja kunisalimia aliniambia anakaa wiki anarudi home kwao hii wiki ya nne sasa naona hana mpango kabisa nashindwa kumfukuza ana mbususu tamu kweli
 
Kweli kabisa💯
 
Hahaaa mwingine utakuta ni mwalimu lakini anasema hawezi kuolewa na mwalimu,mwingine anakitambi lakini anasema siwezi kuolewa na mwenye kitámbi
 
Kuna wengine wako huku makazini wako 40yrs; bila bila
 
Ni kweli aisee kuna binti alikuja kunisalimia aliniambia anakaa wiki anarudi home kwao hii wiki ya nne sasa naona hana mpango kabisa nashindwa kumfukuza ana mbususu tamu kweli
😀 😀 😀 ndio mkeo huyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…